Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Hata katiba iliyopo ingefuatwa vizuri ingekuwa vizuri.
 
Ukiwa na mamlaka bwana watu wanao kuzunguka chochote unachozungumza wanajifanya wanacheka kwa Furaha na kukupigia makofi , mama fanya kilie unachoona kinafaa maana hao hao wanao kupigia makofi leo kesho ukiwa nje watakurushia mawe.
 
Mali bila Daftari hutumika bila taarifa,nenda kamwambie mama Samiah ajisahihishe hata huo urais kaupata kwa sababu ya Kitabu,bila Kitabu mama Samia asingekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mfano wako wa kulinganisha daftarl la kuorodhesha mali na katiba umeonyesha umbumbu mkubwa sana. Daftarl la kuorodhesha mali linakuwa halina muongozo wowote wa mali yako. Lakini katiba inakuwa na muongozo wa nini cha kufanya. Hivyo hakuna mlingano wa daftarl na katiba
 
Nafikiri nimekuelewa
 
Kama alijua katiba ni kitabu, kwanini alishika msahafu na kuapa kuilinda katiba? Kama alijua ni kitabu asinge apa kulinda kitabu.
 
Ni kuchanganyikiwa tusameheane
 
Dini tumeletewa. Safi sana Samia.
 
Hicho kitabu ambacho anaona hakileti maendeleo kama wange kifuata ipasavyo asingewauliza wezi "hamjatosheka kwa pesa mlizoiba kwani mtazikwa nazo" na Wala kusingekua na kelele za kuuza bandari Wala fujo za kuiuza loliondo na Serengeti na maliasili nyingi zilizo uzwa na watawala wa kabla yake na waliopo sasa
Hapo ndipo tungeona maendeleo ambayo yangeletwa na hicho kitabu, nchi isingekua omba omba na waomba mikopo kupita kiasi, kitabu kikiheshimiwa kitaleta maendeleo
 
na kabla ya kutimia biblia au QURAN - Sasa tupewe pia elimu ya juvitumia vitabu hivyo
 
kifungu gani cha Katiba kinakuudh
Vifungu vinavyompa Raisi wa Jamhuri uwezo wa Kisultani.

Vifungu vinavyompa uwezo wa kutuletea akina Chalamila na vingine vingi.

Vifungu vinavyompa uwezo wa kuteua mkurugenzi wa tume ya uchaguzi ambaye ni Kada mwenzake

Vifungu vinavyompa uwezo wa kuyeua Wakurugenzi wa Wilaya ambao ni Makada wa Chama chake kusimamia uchaguzi.

Na Vingine vingi vilivyojaa utopolo.
 
Kwani Urais wa mchongo si aliupata kupitia hichohicho kitabu anachokidharau!
 
Au Waingereza wangekataa kutupa Uhuru kwasababu hatuna elimu ya Uhuru na kujitawala ingekuwaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…