Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Jibu swali Katiba ndio inaleta maendeleo? Vinginevyo ishia kuokota ma box huko huko hakuna Cha diaspora Tzn
 
Nafikir Rais anadanganywa na alioamua kuwaamini.

She's been cheated by some crooks, sidhanj kama ni uwezo perse.

Kumbuka wengi wao hawakushinda uchaguzi.. akiwemo Spika wa Bunge wa sasa ndugu Tulia Ackson.
Wizi wa kura unawafanya wawe na hofu sana ya Katiba mpya.
Nchi hii bado ina viongozi wasioamini katika uchaguzi, na ni wengi sana huko CCM.

Sasa hivi wamehama kabisa, wanataka na wake zao na waume zao walipwe mishahara.. how disgraceful they can be.

Utawala wa CCM Tanzania wamebaki kwenye wizi wa kura huku wakihubiri amani...

Wizi wa kura kwa kipindi cha 2025 hata kwa katiba hii mbovu ni suala lisilowezekana asilani.... it's an old story.... it's either wanaotaka Kumkwamisha wafanye hivyo mapema tujue moja au aendelee na watu wanaomdanganya kwenda kwenye uchaguzi bila muafaka na CDM.

Kifupi Mama anadanganywa na wezi wa uchaguzi, mambo mengi mno kuanzia uchumi na sasa hili la Katiba.. so sad.
 
Jana alidhihirisha alivyo kiazi 'bogus'

Hii katiba ya 1977 ilipoandikwa ilitolewa elimu kwa miaka yote ile (miaka 3)?

Na wananchi anaowadharau kuwa hawaijui katiba ya sasa ajue ndio waliokubali kumpokea kama raisi baada ya Magufuli kufariki...wangelikuwa hawaijui katiba ya sasa wasingelimpokea kuwa raisi baada ya kifo cha Magufuli 'wangelibisha kuwa makamu anapaswa kurithi madaraka ya uraisi'

Stupido! (say it in Luca voice)
 
Naona umemtag mumeo
Kama huwa huelewi kwa nini watu wanakuwa tagged kwenye comment kama hivi..

Usiwe una andika ujinga na upumbavu wako kama hivi.

Labda niku elimishe, kwa nyuzi za walimu usishangae kuona member Mpwayungu village Kawa tagged,nyuzi za mahusiano member Deepond, nyuzi za Mungu Kiranga, nyuzi za mbususu mzabzab.

Wacha kukurupukia vitu usivyo elewa.

Hapa JF hatujuani.
 
Wewe kweli Nyani..na ule msemo wa Nyani haoni kundule una kufaa kabisa.
Nyuma tu hapa Shujaa wetu alitamka kabisaa kuwa haoni umuhimu wa Katiba mpya na akafifisha mijadala yote na hata pale mlipotingisha kibiriti cha UKUTA nyote mliufyata. Sikupata maoni yako kuwa Jiwe ndio Raisi mwenye uwezo mbovu kabisa!
Au pale alipokataa kutoa rambi rambi na kuchangia chakula kwa wahanga wa Ukame akatoa kauli kuwa kwani yeye ndo ameleta tetemeko.
Nyani Ta'ddab! Hata kama humpendi huyo ndo Raisi wako acha dharau na maneno ya shombo! Hovyo kabisa wewe mtu!
 
Mama anahisi Katiba Mpya itamfutilia mbali kwenye uongozi. Hiyo hotuba uliyopachika anaongea kwa hasira sana na kapanic
Aliongea pumba tupu!

Uliziona nyuso za Mwamakula na Warioba kamera zilipowaonyesha?

Samia hana hata uwezo wa kujistukia kuwa anachoongea ni pumba.

Mimi sina akili nyingi. Ila nina akili za kutosha walau kujistukia kuwa ninachokiongea ni pumba na hivyo ni bora kunyamaza tu.

Samia hata uwezo huo hana.
 
Toa maoni bila matusi punguza jazba zisizo na msingi wowote. Uwe na heshima kwa viongozi.
 
Jibu swali Katiba ndio inaleta maendeleo? Vinginevyo ishia kuokota ma box huko huko hakuna Cha diaspora Tzn
Kwani maendeleo NININI wewe usiwe ka kiaz!!!
Utaratibu bora katika uongozi pia ni maendeleo,uchaguzi huru na haki pia ni maendeleo.
Development is a very vast concept,you have to go back to school you little brains!!!
 
Wakati hii katiba tuliyonayo inatengenezwa Kuna elimu waliotoka, wakimkosoa anakimbilia kusema watu wanamtusi.
 
Mkuu wewe ndio umeongea pointi.

Alichoongea jana Rais Samia ni reflection ya waiba kura woote hasa akina Tulia na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…