Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Wewe unawezaje linganisha Kenya na tz katika utawala bora , hata kama yapo mapungufu, na kiuchumi je ,

Muwe mnajieshimu , mna mambo ya kipumbavu sana mkidhan mnamjenga ,kumbe mnampeleka shimoni, wanafiki wakubwa , ni nyie tu akiondoka madarakani ndo mtakuwa wa kwanza mpiga mawe
Rais Samia Ni Rais bora kabisa kwa sasa katika Bara la Afrika. Rais Samia hata bila katiba anaweza kuongoza Taifa letu pasipo shida wala taabu ya aina yoyote ile
 
Kuna mdau humu jf alitoa komenti na kusema kwamba , wakati marais wanaogombea wanaangaliwa sana, ila pia waangaliwe wagombea wenza watakaogombea nao. Ile komenti ilinitafakarisha sana. Na pia mtaani kuna mdau fulani hivi mwenye access na huko serikalini alisema huyu hakuwa favorable kwa uncle ,ila ndio hivyo alijikuta ndio runningmate wake aliopendekezwa. Kuna moments nikijaribu kuzi combine together kipindi cha magufuli yawezekana ni kweli
Unajua hata vitani wanatangulizwa juniors. So usishangae kuona vita inakua ngumu. Big brains za CCM zinajua ni akina nani wakikaa pale mbele zenyewe zitaendelea kuifaidi keki ya taifa. Hii sio bahati mbaya, ni mpango. Yaani kama nawaona jamaa wakikaa wwnyewe wanavyomcheka mwenzao.
 
Mama wa nyumbani anazungumza bullshit. Hamna hata logical coherence ya hoja zake. Hata message delivery ni zero. Ni mumbo jumbo tu alichokuwa anahutubia.
Wewe ndiye huna akili kama inavyojionyesha hapa katika maandishi yako .kuwa ni mtu kama mnyama tu asiye na akili wala ufahamu
 
Jinsia yake haihusiki. Dini yake haihusiki. Sehemu ya Kijiografia anayotokea nayo haihusiki.

Kinachohusika hapa ni uwezo wake mdogo alionao.

Uwezo mdogo wa kiuongozi. Uwezo mdogo wa kuchanganua mambo. Na uwezo mdogo wa kujenga hoja.

Mara kadhaa sasa nimeona ona humu baadhi ya watu wakisema kwamba Rais Samia kaonyesha na kuthibitisha kuwa wanawake hawafai katika nafasi kiuongozi.

Mimi hilo nalikataa. Mtu mmoja mwenye uwezo mdogo si mwakilishi wa wanawake wote nchini wala duniani, kwa ujumla.

Uwezo wake mdogo alionao ni wa kwake yeye tu, Rais Samia.

Kilichonisukuma kuileta hii mada hapa ni yale maoni yake aliyoyatoa hapo jana.


View: https://youtu.be/O8SVrOeYtck?si=zAtsS1VP_q_B5Hmo

Rais anahoji kuwa kwani katiba ndo inaleta maendeleo?

Hivi huyu Rais hajui kuwa katiba ya nchi ndo framework ya uongozi na utawala ulio bora?

Bila uongozi na utawala ulio bora, kuna maendeleo gani yaliyo ya maana yanayoweza kupatikana?

Huo ni uwezo mdogo sana wa kufikiri ambao siutegemei utoke kwa kiongozi aliye wa juu kabisa nchini.

Au labda yeye anadhani maendeleo yanatoka wapi au yanakujaje?

Jingine la ajabu alilolizungumzia ni suala la elimu. Kwamba eti watu walio wengi hawajui hata katiba ni kitu gani. Hivyo ni lazima kwanza watu wapewe elimu kabla ya kuiandika hiyo katiba mpya.

Nilichoking’amua hapo ni ‘projection’ yake yeye kuhusu katiba.

Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!

Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].

Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.

Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.

Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.

Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?

Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?

Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?

Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?

Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.

Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri shahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nini, ni Rais Samia.

Samia hafai kuwa Rais. Alichaguliwa kuwa mgombea mwenza kwa sababu zingine na si kwa sababu alikuwa ni mtu mwenye uwezo unaofaa.

Tuna Rais bomu ambaye hafai kuwepo madarakani hata kwa sekunde moja.

Nadiriki kusema kuwa Samia ndo Rais bomu kushinda marais wote tuliowahi kuwa nao Tanzania.

Wewe ndio mwenye uwezo mdogo. Tulikuwa na JPM hapa. Wala hakuwa akiongoza kwa Katiba. Sasa kama una jamii ya watu wasiojua umuhimu wa hiyo Katiba, definitely unahitaji kuelimisha hao watu wajue kuwa Katiba ni nini. Kinyume chake utatumia resources za nchi kutengeneza kitu ambacho hakitatimika. Samia yuko sahihi 💯
 
Kenya wana katiba mpya na bado wanalia kila kama panya kila siku barabarani .
Kwa taarifa yako Kenya tunawazidi eneo la kijiografia, wingi wa watu na ujinga, lakini kuanzia maendeleo, uchumi, demokrasia, elimu, afya , michezo, uhuru wa habari nk wanatuzidi sana. Au unadhani Kenya kuna ujinga wa kukimbiza mwenge kama hapa kwenye nchi ya makondoo?
 
Ni tafsiri tu ya kile alichokisema...

Mh.Rais anaiheshimu katiba ila haijiendeshi.....inatafsiriwa na BINADAMU na inasimamiwa nao....

Katiba ni jengo ambalo ndani yake kuna shughuli na Maisha ya watu.....

MAENDELEO hufanywa humo ndani ya nyumba na hao binadamu.....

Si katiba itakayoleta hayo MAENDELEO bali ni hao wakazi wa hiyo nyumba.....

Binafsi nimemuelewa mh.Rais SSH [emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kama hivyo ndivyo wewe na huyo mama mnamaanisha kua kwakua katiba kitabu hakileti maendeleo siyo kitu Cha Msingi Cha kupewa kipaombele na Kwa Tafsiri yako kuwa kitabu si muhimu ila watu na mifumo iliyoko ndani ya hicho kitabu ndiyo muhimu ila kitabu chenyewe si muhimu. Ndiyo kusema kwamba wewe na yeye mnasema watu na mifumo yao si muhimu ila FIKRA zenu mnazowaza kwa wakati huo ndo MHIMU. Rubbish kabisa

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Mliozaliwa,mkakua kama miti,mnajijulisha wazi kabisa, mmeona jogoo kisha mkapofuka tena basi imekuwa taaaabu kweli kweli, hakuna cha zaidi ni udini, udini, udini umewajaa tu
Ombeni Mungu 2030 sio mbali umri ukiwepo mtaweka huyo mwenzenu tuone mtakavyokimbiana hapa
 
Back
Top Bottom