Rais Samia, Naomba umpangie kazi nyingine DC Simon Simalenga. Anakuchafua

Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza Nchi. Pamoja na madhaifu mengine, naomba ufuatilie, kama kweli ukikuta kaingia kwenye mkumbo wa kujadili saa uliyovaa, hafai kuwa msaidizi wako.
View attachment 2911020
Mkuu wa Wilaya unatakiwa Uwe upande wa mtu aliyekuteua hataka kama kakosea. Ni jambo la lawaida kimaadili. Sio umshushue.

Kumbuka Kawafukuza Waandishi wa habari kwamba wasimuingilie kwenye majukumu. Hataki kuhojiwa chochote kuhusu Wilaya yake. Anataka akuandalie taarifa akupe sio wewe umuulize swali au Ufafanuzi.

Kwakuwa ameonesha kutokutaka kushirikiana na Mhimili wa nne vyombo vya habari, ana haja gani ya kuendelea kukalia hicho kiti. Kwanza hakuna Mwandishi ambaye angemuuliza mambo ya Saa, watu walikuwa wanafuatilia kikao cha District Consultative Council (DCC).

Pia kashindwa kuwasaidia Wachimbaji wadogo. Licha ya Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kuagiza Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Mgodi wa Ikinibushiu, wilayani Bariadi mkoani Simiyu wapewe leseni na wasiondolewe wala kunyanyaswa ikiwemo kuhakikisha haki zao zinalindwa, Hadi leo hajawasaidia kwa chochote na wachimbaji hao wanalamikia vitendo vinavyofanywa na watu waliyopatiwa leseni za kumiliki eneo hilo kwa kutaka kuchukua maduara yao na kuwaondoa. Mkuu wa Wilaya yupo Kimya.

PIa TAKUKURU imchunguze
Unatumia mantiki gani kusema ni lazima umsapoti aliekuteua hata kama kakosea na ulijuaje anajadili saa ya bosi wake bila wewe kuwa sehemu ya huo mjadala. Mwisho ni uthibitisho gani unaoonyesha kwamba hawakubali wanawake katika uongozi.
 
Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza Nchi. Pamoja na madhaifu mengine, naomba ufuatilie, kama kweli ukikuta kaingia kwenye mkumbo wa kujadili saa uliyovaa, hafai kuwa msaidizi wako.
View attachment 2911020
Mkuu wa Wilaya unatakiwa Uwe upande wa mtu aliyekuteua hataka kama kakosea. Ni jambo la lawaida kimaadili. Sio umshushue.

Kumbuka Kawafukuza Waandishi wa habari kwamba wasimuingilie kwenye majukumu. Hataki kuhojiwa chochote kuhusu Wilaya yake. Anataka akuandalie taarifa akupe sio wewe umuulize swali au Ufafanuzi.

Kwakuwa ameonesha kutokutaka kushirikiana na Mhimili wa nne vyombo vya habari, ana haja gani ya kuendelea kukalia hicho kiti. Kwanza hakuna Mwandishi ambaye angemuuliza mambo ya Saa, watu walikuwa wanafuatilia kikao cha District Consultative Council (DCC).

Pia kashindwa kuwasaidia Wachimbaji wadogo. Licha ya Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kuagiza Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Mgodi wa Ikinibushiu, wilayani Bariadi mkoani Simiyu wapewe leseni na wasiondolewe wala kunyanyaswa ikiwemo kuhakikisha haki zao zinalindwa, Hadi leo hajawasaidia kwa chochote na wachimbaji hao wanalamikia vitendo vinavyofanywa na watu waliyopatiwa leseni za kumiliki eneo hilo kwa kutaka kuchukua maduara yao na kuwaondoa. Mkuu wa Wilaya yupo Kimya.

PIa TAKUKURU imchunguze
Ni ajabu nchi hii , hivi huyu SIMALENGA alipataje uteuzi wa kuwa DC?

Nchi INAKERA sana , mtu kama Hana sifa za uongozi, ni corrupt government tu ndio inaweza mteua
 
Dah kweli mtu sio nyau ..

Huyu simalenga si alikuwa muigizaji wa kundi la KAOLE , Sasa hv eti nae kawa DC
 
Anaonekana sharobaro!
Ukitafuta wateule wa mama anaefanya kazi kwa weledi na uzalendo sidhani kama ktk 100 utapata 5!
Anyway, ndio ccm wenyewe hao!
 
Pumbavu ninyi media!

Sasa kama maafisa usalama walimshauri Mh DC asiwaruhusu kwenye kikao mlitaka aupuuze huo ushauri halafu afuate wa kwenu?
 
Rais Wa Jamhuri Samia Hassan, naomba umpangie kazi nyingine Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, Simon Simalenga sababu anakudhalilisha na kukuharibia. Anafanya watu wakuone kwamba huna maamuzi hata mteule wako anapoenda kinyume na maadili. Ni moja ya watu wanaoamini Mwanamke hawezi kuongoza Nchi. Pamoja na madhaifu mengine, naomba ufuatilie, kama kweli ukikuta kaingia kwenye mkumbo wa kujadili saa uliyovaa, hafai kuwa msaidizi wako.
View attachment 2911020
Mkuu wa Wilaya unatakiwa Uwe upande wa mtu aliyekuteua hataka kama kakosea. Ni jambo la lawaida kimaadili. Sio umshushue.

Kumbuka Kawafukuza Waandishi wa habari kwamba wasimuingilie kwenye majukumu. Hataki kuhojiwa chochote kuhusu Wilaya yake. Anataka akuandalie taarifa akupe sio wewe umuulize swali au Ufafanuzi.

Kwakuwa ameonesha kutokutaka kushirikiana na Mhimili wa nne vyombo vya habari, ana haja gani ya kuendelea kukalia hicho kiti. Kwanza hakuna Mwandishi ambaye angemuuliza mambo ya Saa, watu walikuwa wanafuatilia kikao cha District Consultative Council (DCC).

Pia kashindwa kuwasaidia Wachimbaji wadogo. Licha ya Waziri wa Madini, Anthony Mavunde kuagiza Wachimbaji wadogo wa dhahabu katika Mgodi wa Ikinibushiu, wilayani Bariadi mkoani Simiyu wapewe leseni na wasiondolewe wala kunyanyaswa ikiwemo kuhakikisha haki zao zinalindwa, Hadi leo hajawasaidia kwa chochote na wachimbaji hao wanalamikia vitendo vinavyofanywa na watu waliyopatiwa leseni za kumiliki eneo hilo kwa kutaka kuchukua maduara yao na kuwaondoa. Mkuu wa Wilaya yupo Kimya.

PIa TAKUKURU imchunguze
Sijaona issue ya kiongozi mwanamke imeingiaje

Majungu ni Mengi na inawezekana wewe una chuki binafsi
 
Back
Top Bottom