Rais Samia ni dereva hodari, shupavu jasiri na mahiri wa taifa letu, Watanzania waridhishwa na kasi yake

Rais Samia ni dereva hodari, shupavu jasiri na mahiri wa taifa letu, Watanzania waridhishwa na kasi yake

Acha uchawa wa kishamba ww! Huwa unakunywa chai kwake? Watu wamekufa Bukoba wanamaji wa serikali hawana oxygen ya kuzamia wakati maccm majizi yananunua v8 ya mil 500? Pumbavu kabisa! Acha upumbavu! Huna haya wewe chawa!
Kwa yeyote atakayebainika kufanya uzembe katika Ajari Ile atachukuliwa hatua,Tuiamini serikali yetu na Tumwamini Rais wetu
 
Chawa mpo kazini

Ila bahati mbaya hamuwezi kutununua wote sisi tutasimama kwenye ukweli mpaka mwisho.

Hata Kama mmelogwa Kuna watu hatuwezi kukubali kulogwa tutasimama!!

"Samia yupi kwenye Wrong direction huu ndio ukweli mchungu"
Kabisa, machawa mapumbavu kabisa!
 
Jiongelee mwenyewe tu. Maoni yako usiyafanye yawe ya Watanzania wote.
Mamilioni ya watanzania wameridhishwa na Kasi ya kiutendaji ya mh Rais katika kupiga hatua za kimaendeleo kwa Taifa letu, watanzania wameridhishwa na mikakati ya mh Rais katika kukabiliana na changamoto zinazojitokeza mbele yetu, watanzania wameridhishwa na dhamira njema ya mh Rais katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleo
 
Thread Za Huyu Chawa, Kupe, Ndorobo, Papasi
Ni Kusifu Na Kuabudu Muda Wote
 
Thread Za Huyu Chawa, Kupe, Ndorobo, Papasi
Ni Kusifu Na Kuabudu Muda Wote
Leta zako za kukosoa Kama unazo,maana Mimi naungana na mamillion ya watanzania ambao wameridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais na Kasi Yake ya kuijenga nchi yetu
 
Hawa wakulima mbona hawana furaha kama wamelazimishwa kubeba hayo mabango.
Wakulima wa Tanzania Wana furaha kubwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia hasa baada ya kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Sasa kwa Hali hii kwanini wakulima wasimpongeze na kumsifu mh Rais?
 
Rudi shule ukajifunze propaganda za kisasa, hizi za kwako ni so outdated.
Tindo uwe na Imani na mh Rais maana tunakokwenda ni kuzuri Sana ukilinganisha na tuliko toka, mikakati ya tunakokwenda kukabiliana na changamoto hizo Ni mikubwa Sana na ya kuleta faraja na matumaini
 
Hawa wakulima wa kwenye picha hawaonekani kufurahia kubebeshwa mabango bila sababu, kama ni kweli unayosema si walau wange smile.
Wakulima wa Tanzania Wana furaha kubwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia hasa baada ya kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Sasa kwa Hali hii kwanini wakulima wasimpongeze na kumsifu mh Rais?
 
Hawa wakulima wa kwenye picha hawaonekani kufurahia kubebeshwa mabango bila sababu, kama ni kweli unayosema si walau wange smile.
Wana beba mabango kwa hiyari yao wenyewe kuonyesha upendo kwa Rais wao kwa namna anavyowajali na kuwatumikia kwa uzalendo mkubwa Sana hasa kwa kutambua kuwa kilimo no uti wa mgongo wa Taifa letu na ndio usalama wenyewe wa Taifa maana huwezi ukasikilizwa Wala kumuongoza mtu mwenye njaa Tumboni
 
Tindo uwe na Imani na mh Rais maana tunakokwenda ni kuzuri Sana ukilinganisha na tuliko toka, mikakati ya tunakokwenda kukabiliana na changamoto hizo Ni mikubwa Sana na ya kuleta faraja na matumaini

Hizi porojo za kiccm ni toka enzi za Nyerere na hali inazidi kuwa mbaya, udhibitisho ni huu mgao wa umeme na maji.
 
Wana beba mabango kwa hiyari yao wenyewe kuonyesha upendo kwa Rais wao kwa namna anavyowajali na kuwatumikia kwa uzalendo mkubwa Sana hasa kwa kutambua kuwa kilimo no uti wa mgongo wa Taifa letu na ndio usalama wenyewe wa Taifa maana huwezi ukasikilizwa Wala kumuongoza mtu mwenye njaa Tumboni
Sasa mbona nyuso zao zimejawa na majonzi utadhani wamefiwa.
 
Back
Top Bottom