Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Kwa yeyote atakayebainika kufanya uzembe katika Ajari Ile atachukuliwa hatua,Tuiamini serikali yetu na Tumwamini Rais wetuAcha uchawa wa kishamba ww! Huwa unakunywa chai kwake? Watu wamekufa Bukoba wanamaji wa serikali hawana oxygen ya kuzamia wakati maccm majizi yananunua v8 ya mil 500? Pumbavu kabisa! Acha upumbavu! Huna haya wewe chawa!
Nawe Mayalla msomi unaunga mkono upumbavu! Mmelogwa nini! Takataka zote hizi!Naunga mkono hoja
P
NakaziaNonsense
Kabisa, machawa mapumbavu kabisa!Chawa mpo kazini
Ila bahati mbaya hamuwezi kutununua wote sisi tutasimama kwenye ukweli mpaka mwisho.
Hata Kama mmelogwa Kuna watu hatuwezi kukubali kulogwa tutasimama!!
"Samia yupi kwenye Wrong direction huu ndio ukweli mchungu"
Apewe asali wapi huyu mjinga!Km umeweka no na bado hawakupi asalii ulambe weka na picha mwanawane [emoji41]
Tindo rafiki yangu Wala usiwe na wasiwasi hayo yote mh Rais wetu mpendwa anaendelea kutatua Kama ambavyo Tumeona mikakati mbalimbali ya kumaliza kero hizo
Hawa wakulima mbona hawana furaha kama wamelazimishwa kubeba hayo mabango.
Mamilioni ya watanzania wameridhishwa na Kasi ya kiutendaji ya mh Rais katika kupiga hatua za kimaendeleo kwa Taifa letu, watanzania wameridhishwa na mikakati ya mh Rais katika kukabiliana na changamoto zinazojitokeza mbele yetu, watanzania wameridhishwa na dhamira njema ya mh Rais katika kuijenga nchi yetu na kuipeleka mbele kimaendeleoJiongelee mwenyewe tu. Maoni yako usiyafanye yawe ya Watanzania wote.
Hasa sekta ya umeme na maji.Rais Samia Ni Rais atakayekumbukwa Sana kwa maendeleo makubwa ya kiuchumi aliyoyaleta na kufanikisha ndani ya muda mfupi. Ameacha Alama za kimaendeleo katika kila secta
Leta zako za kukosoa Kama unazo,maana Mimi naungana na mamillion ya watanzania ambao wameridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais na Kasi Yake ya kuijenga nchi yetuThread Za Huyu Chawa, Kupe, Ndorobo, Papasi
Ni Kusifu Na Kuabudu Muda Wote
Wakulima wa Tanzania Wana furaha kubwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia hasa baada ya kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Sasa kwa Hali hii kwanini wakulima wasimpongeze na kumsifu mh Rais?Hawa wakulima mbona hawana furaha kama wamelazimishwa kubeba hayo mabango.
Tindo uwe na Imani na mh Rais maana tunakokwenda ni kuzuri Sana ukilinganisha na tuliko toka, mikakati ya tunakokwenda kukabiliana na changamoto hizo Ni mikubwa Sana na ya kuleta faraja na matumainiRudi shule ukajifunze propaganda za kisasa, hizi za kwako ni so outdated.
Keki ya Taifa kwa Sasa inatufikia watanzania wote kupitia miradi mbalimbali ya kimaendeleo inayojengwa na mh Rais kila Kona ya nchi hii na Inayomgusa mwananchi mnyonge moja kwa mojaApewe asali wapi huyu mjinga!
Wakulima wa Tanzania Wana furaha kubwa Sana na uongozi wa mh Rais wetu mpendwa mama Samia hasa baada ya kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini iliyopelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni ,mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Sasa kwa Hali hii kwanini wakulima wasimpongeze na kumsifu mh Rais?
Wana beba mabango kwa hiyari yao wenyewe kuonyesha upendo kwa Rais wao kwa namna anavyowajali na kuwatumikia kwa uzalendo mkubwa Sana hasa kwa kutambua kuwa kilimo no uti wa mgongo wa Taifa letu na ndio usalama wenyewe wa Taifa maana huwezi ukasikilizwa Wala kumuongoza mtu mwenye njaa TumboniHawa wakulima wa kwenye picha hawaonekani kufurahia kubebeshwa mabango bila sababu, kama ni kweli unayosema si walau wange smile.
Tindo uwe na Imani na mh Rais maana tunakokwenda ni kuzuri Sana ukilinganisha na tuliko toka, mikakati ya tunakokwenda kukabiliana na changamoto hizo Ni mikubwa Sana na ya kuleta faraja na matumaini
Sasa mbona nyuso zao zimejawa na majonzi utadhani wamefiwa.Wana beba mabango kwa hiyari yao wenyewe kuonyesha upendo kwa Rais wao kwa namna anavyowajali na kuwatumikia kwa uzalendo mkubwa Sana hasa kwa kutambua kuwa kilimo no uti wa mgongo wa Taifa letu na ndio usalama wenyewe wa Taifa maana huwezi ukasikilizwa Wala kumuongoza mtu mwenye njaa Tumboni
Huo Ni mtizamo wako tu mkuu, lakini Tambua kuwa mioyo ya wakulima wa Tanzania kwa Sasa Ina amani Sana na Rais SamiaSasa mbona nyuso zao zimejawa na majonzi utadhani wamefiwa.