britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Bangi sio kitu kizurišNadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Muongo muongo usimzingatie sana atakupotezaUmeshapata za ndani kuwa kuna jambo linakuja nini?
Ya Njombe yenyewe hii kwa sauti ya Ana makindaBa
Bangi sio kitu kizuriš
Tena za kuvuta ukiwa juu ya mwembe au mkoroshi zinapeleka resi sanaBa
Bangi sio kitu kizuriš
Mixa mavi ya mnyama mtu au sio hakuna kuzimua na kaliYa Njombe yenyewe hii kwa sauti ya Ana makinda
Kwa record ya huyu jamaa hapa jamvini si a kumchukulia poaBa
Bangi sio kitu kizuriš
Ya chadema hayasahaulikiNadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
NaaamUmeshapata za ndani kuwa kuna jambo linakuja nini?
October 2024 tena,wewe Misomisondo umepigaje hapo?Yeye aruke hata soti tu lakini October 2024 aachie ofisi yetu
Yes Ila kuna ka sauti kanasema hivo na mkeka unaweza kuwepp hapo mbeleni ukawagusa untouchable hapo mbeleni kuanzia sasa Mpaka mwakani JanKatika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.
Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.
Yaani amtumbue kwa sababu gani? Uimara wa shilingi? Tulijua kwamba dola itapanda tu. Ilikuwa sherehe ya muda mfupi...wasiojua walishangilia kiccm lakini tunaojua tuliangalia ki-uchumi zaidiNadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Mganga wa Mwigulu sio fakeš¤£Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Muongo muongo huyu usimsikilize kesho atahamia kwa Waziri Mkuu na Naibu wakeKatika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.
Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.