Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Mkuu britanicca akitolewa kwenye hiyo wizara, nani anaenda kuwa mrithi wake wa mambo ya fedha?
Je Huyo aliye pichani anawekwa benchi au anahamishiwa wizara nyingine???
 
Back
Top Bottom