Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndiyo maana nimemuuliza hilo swali. Sijamchukukia poa.Kwa record za huyu jamaa hapa jamvini si wa kumchukulia poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nimemuuliza hilo swali. Sijamchukukia poa.Kwa record za huyu jamaa hapa jamvini si wa kumchukulia poa
Kwa sababu jwanza hazina uchumi, zina uhuni.Hizi banana 🍌 🍌 republic hazijali hilo.
True..Kwa record ya huyu jamaa hapa jamvini si a kumchukulia poa
Mkuu britanicca akitolewa kwenye hiyo wizara, nani anaenda kuwa mrithi wake wa mambo ya fedha?Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Inategemea na bangi yenyewe ni ya wapi!Ba
Bangi sio kitu kizuri😏