Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

IMG_6281.jpeg
 
Ba

View attachment 3181020
Bangi sio kitu kizuri😏
 
Ya chadema hayasahauliki
 
Katika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.

Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.
 
Yes Ila kuna ka sauti kanasema hivo na mkeka unaweza kuwepp hapo mbeleni ukawagusa untouchable hapo mbeleni kuanzia sasa Mpaka mwakani Jan
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Yaani amtumbue kwa sababu gani? Uimara wa shilingi? Tulijua kwamba dola itapanda tu. Ilikuwa sherehe ya muda mfupi...wasiojua walishangilia kiccm lakini tunaojua tuliangalia ki-uchumi zaidi
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Mganga wa Mwigulu sio fake🤣
 
Katika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.

Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.
Muongo muongo huyu usimsikilize kesho atahamia kwa Waziri Mkuu na Naibu wake
 
Back
Top Bottom