Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
Wana chuki binafsi kwa sababu ya jonsia yake,dini na Uzanzibari wake..Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzungukaunavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuinga na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata china ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampunimakubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kua haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja natakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambap wachawi hawapendagi vitu positive.
Anachukiwa kwa kutosimamia uwajibikaji na uadilifu wa watu walio chini yake.Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambap wachawi hawapendagi vitu positive.
Kama nani ambae hawajibiki? Kama hawawajibiki haya yangefanyika?👇Anachukiwa kwa kutosimamia uwajibikaji na uadilifu wa watu walio chini yake.
Safari nyingi zingine hazina ulazima zinasababisha matumizi makubwa ya pesa ambazo zingesaidia huduma za jamii au miradi mingine ya maendeleo.
Uadilifu wake pekee huku wasaidizi wake wakikosa uadilifu ni kazi bure. Hizi safari za ovyo ni madili ya watu ya kujiongezea kipato at our expense. Unafikiri safari hizi zote anabuni yeye?
Mkuu, unapoongoza watu wengi, lazima wengine watakuwa wana misbehave. Hata kwenye familia watoto watukutu hawakosekani. Kwa hiyo ni suala la kushughulika nao kwa kadiri wanavyojitokeza na kwa mujibu wa sheria.Anachukiwa kwa kutosimamia uwajibikaji na uadilifu wa watu walio chini yake.
Safari nyingi zingine hazina ulazima zinasababisha matumizi makubwa ya pesa ambazo zingesaidia huduma za jamii au miradi mingine ya maendeleo.
Uadilifu wake pekee huku wasaidizi wake wakikosa uadilifu ni kazi bure. Hizi safari za ovyo ni madili ya watu ya kujiongezea kipato at our expense. Unafikiri safari hizi zote anabuni yeye?
Ungekuja na two sides na reconciliation weaknesses zipo na mazuri yapo,Maisha ni magumu tushirikiane kujibu na kutatua ni sharti sio hiari ya mtuKwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzunguka unavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuiunganisha na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata China ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampuni makubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kuna haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana kama Taifa.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambapo wachawi hawapendagi vitu positive.
Mkuu, ugumu wa maisha ni swala mtambuka ambalo halina jibu moja na halitatuliwi na mtu mmoja. Mfano rais afanye nini specifically kwenye nini? kulaumu tu kijumla jumla huwa sio sahihi na hakujawahi kuwa na tija. Japo ni kweli maisha ni magumu.Ungekuja na two sides na reconciliation weaknesses zipo na mazuri yapo,Maisha ni magumu tushirikiane kujibu na kutatua ni sharti sio hiari ya mtu
Uongozi umeshindwa kuhusu bei za vitu hata ambavyo Ukraine haihusiki kamanda Rais awe makini Kila kitu kinapanda bei hats kabla ya vita mfano mboleaMkuu, ugumu wa maisha ni swala mtambuka ambalo halina jibu moja na halitatuliwi na mtu mmoja. Mfano rais afanye nini specifically kwenye nini? kulaumu tu kijumla jumla huwa sio sahihi na hakujawahi kuwa na tija. Japo ni kweli maisha ni magumu.
By the way watu wenye akili nzuri huibuka wakati maisha yanapokuwa magumu, kisha hutumia akili kuyafanya yawe rahisi, yakiwa rahisi huzalisha watu legelege na kuyafanya yawe magumu tena na cycle inaendelea hivyo heheheh
Kuna kitu kinaitwa 'value chain ya bidhaa' sehemu yoyote ikiathirika inaathiri sehemu nyingine. Kwa mfano, mafuta yakipanda bei, yanapandisha je bei ya mbuzi au mchele? unatakiwa ufahamu kuwa muuza mbuzi au mchele atakuwa anauziwa huduma nyingine ghali, kwa hiyo ili aweze kununua naye atapandisha bei ya mbuzi au mchele au bidhaa anayozalisha.Uongozi umeshindwa kuhusu bei za vitu hata ambavyo Ukraine haihusiki kamanda Rais awe makini Kila kitu kinapanda bei hats kabla ya vita mfano mbolea
Tuna watu wengi wa ajabu na watu wachache wa maana. Kwa mfano tuna watu wengi wanaofurahia zaidi kuona wengine wakipata shida/kukwama kuliko wanavyofurahia wao wenyewe wakifanikiwa au kusaidiwa kufanikiwa.Hili ni Taifa la wezi tusimsingizie Binti Suluhu.
Sahivi mpk mvua kukosekana inasingiziwa vita ya UkraineUongozi umeshindwa kuhusu bei za vitu hata ambavyo Ukraine haihusiki kamanda Rais awe makini Kila kitu kinapanda bei hats kabla ya vita mfano mbolea
Hizi pesa nusu zitapigwaKama nani ambae hawajibiki? Kama hawawajibiki haya yangefanyika?👇
View attachment 2222711
View attachment 2222712
View attachment 2222713
View attachment 2222714
View attachment 2222715
Anaupiga mwingi au siyo. Lengo lako ni nini? kuziba watu midomo. Acha watu waongee yaliyopo mioyoni mwaoKwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzunguka unavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuiunganisha na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata China ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampuni makubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kuna haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana kama Taifa.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambapo wachawi hawapendagi vitu positive.
Kitu usichokijua ni bora unyamaze,hizo safati nyingi ni zipi?na wewe unajuaje kuwa hazina ulazima?Anachukiwa kwa kutosimamia uwajibikaji na uadilifu wa watu walio chini yake.
Safari nyingi zingine hazina ulazima zinasababisha matumizi makubwa ya pesa ambazo zingesaidia huduma za jamii au miradi mingine ya maendeleo.
Uadilifu wake pekee huku wasaidizi wake wakikosa uadilifu ni kazi bure. Hizi safari za ovyo ni madili ya watu ya kujiongezea kipato at our expense. Unafikiri safari hizi zote anabuni yeye?
Kwani haujui kuwa milipuko huchafua hali ya hewa na hivyo kuathiri unyeshaji wa mvua?Sahivi mpk mvua kukosekana inasingiziwa vita ya Ukraine
Sawa sisterKwani haujui kuwa milipuko huchafua hali ya hewa na hivyo kuathiri unyeshaji wa mvua?