Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,562
- Thread starter
- #21
Kazi kweli, haters!Sawa sister
Kazi kweli, haters!Sawa sister
Ubarikiwe sana mtoa maada.Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzunguka unavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuiunganisha na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata China ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampuni makubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kuna haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana kama Taifa.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambapo wachawi hawapendagi vitu positive.
Pumbafu, huko kwenu tarime waitara alikuwa msifiajj wa mshenzi akapewa mpaka unaibu waziri.Anaupiga mwingi au siyo. Lengo lako ni nini? kuziba watu midomo. Acha watu waongee yaliyopo mioyoni mwao
Yesu mwenyewe pamoja na kulisha watu na kufanya miujiza hakupendwa na watu wote
Twendelee kudanganyana tu. Sisi huku tarime mambo ya kusifianasifiana hakuna.
Kila mtu atekeleze wajibu wake! basi. hatubembembelezani
Kila mzanzibar anamsifu mama, adumu ili zanzibar izdi kuneemeka.Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzunguka unavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuiunganisha na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata China ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampuni makubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kuna haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana kama Taifa.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambapo wachawi hawapendagi vitu positive.
Nonsense, Punguani wa Aina hii mpo wengi sana.Kwanza nianze kwa kusema, hata mtu awe mwema au mtaalam wa kiwango gani, hawezi kutatua matatizo yote ya dunia hii peke yake. Anachotakiwa ni kufanya kwa nafasi yake akitanguliza dhamira njema na sisi wengine kila mtu afanye kwa uwezo wake na nafasi yake.
Aidha, kwa kadiri wengi wetu tunavyochukua hatua sahihi kulingana na mazingira yetu na uwezo wetu, ndivyo uwezekano wa kufanikiwa kutatua matatizo yanayotuzunguka unavyoongezeka na kinyume chake.
Rais Samia ni kiongozi muadilifu aliejaa hekima anayeongoza nchi kisayansi na kwa dhamira njema.
Kwenye uchumi: Anajitahidi sana kuifungua nchi kiuchumi na kuiunganisha na dunia, ambapo kwa sasa hii ni muhimu sana ili kufanikiwa kiuchumi. Ikumbukwe kuwa hata China ilipata maendeleo ya haraka baada ya Deng Xiaoping na succesors wake kuifungua China kwa Dunia na kuyaalika makampuni makubwa kuwekeza huko ShenzHen na Shaghai.Sasa mtu anachukia kwa hili unataka nini sasa?
Kisiasa: Ni mtu anayeamini kwenye siasa za mazungumzo, majadiliano na maridhiano na tayari tunaona reforms anazofanya. Sasa mtu anachukiaje kwa aina hii ya siasa?
Kijamii: Ni mtu anayeamini kwenye haki, na tumeona reforms anazofanya ambazo ziko wazi sana. Sasa mtu unachukiaje kwa mfano mama akipinga dhulma?
Swali: sasa kwa nini maisha bado ni magumu? bado kuna haki za kisiasa hazipo sawa? bado kuna watu wanadhulumiwa hapa na pale? Jibu ni kwamba, matatizo hayatatuliwi yote siku moja ukiamka asubuhi yameisha. Ni mchakato. Aidha, kuna 'actors' wengi ambapo kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake ili kupata mafanikio ya maana kama Taifa.
Katika mazingira kama hayo, ni sahihi mtu kuhitmisha kuwa anayemchukia Rais Samia ni amma ana tatizo la husuda, au ni mtu dhalimu au ana roho ya uchawi ambapo wachawi hawapendagi vitu positive.
Hakuna kiongozi bomu nchi imepata kama awamu hii. Kutwa kucha kiguru na nchi, eti kufungua nchi nani kasema imefungwa.Mwenye udhalimu na husda ni Samia ambae anahamasisha ufisadi katika Taifa letu👇🤡🤡🤡
View attachment 2222958
Kazi kweli. ndio hawa sasa wanaozungumziwa kwenye hoja ya msingiNonsense, Punguani wa Aina hii mpo wengi sana.
Kuna kiongozi pale,kisa mzanzibar mwenzio ndio kutwa kucha kusifu kwa nyimbo na mapambio.Kazi kweli. ndio hawa sasa wanaozungumziwa kwenye hoja ya msingi
Nyie ndio wale huwa hamuoni thamani ya mtu hata afanye nini hadi aondoke. Alishaondoka akija mwingine unaanza kumsifu huyu na kumponda aliyepo. Hii ni aina flani ya saikolojia ya kundi la watu ambao hawaridhikiHakuna kiongozi bomu nchi imepata kama awamu hii. Kutwa kucha kiguru na nchi, eti kufungua nchi nani kasema imefungwa.
Ili uitwe binadamu, lazima kwanza uwe na mapungufu. Tunachoangalia ni 'degrees'.Ana mapungufu yake ndio, ila ni improvement kubwa sana kuliko Magufuli
Wanaomchukia wengi hata sio Wapinzani ni wafuasi wa Magufuli...
Yeah. Nakubaliana na wewe mkuuKwa kweli siyo kwamba ni siasa special sema tu ni mfuatiliaji anayeenda ndani ya kiapo na ahadi na imani za chama chake. Huo ndiyo utaratibu mzuri na tungekuwa na viongozi kumi wa aina yake tungekuwa mbali sana kisiasa na kiuchumi.
Shida kubwa ya viongozi wengi wa nchi za Africa ni kutoheshimu katiba kanuni na sheria. Wakijiona wako vizuri kifikra kuliko waĺiotunga katiba! Na huamua kwa utashi wao kwa kudhania wana mawazo bora ya wengine. Matokeo ni kuvurunda na kuamua kung'ang'ania madarakani huku wakiogopa kushtakiwa wakitoka madaralani.
...maneno hayo yanajitoshelezaIlisikika akimjibu...." Hehe e hiyo tena, haina mfano wake Kabisa"
Kumamae maisha yalivo zidi kuwa magumu hivi.sisi.masikini hatuwezi kumpenda ... Hasaidii maskini kabisa.anangalia.matajiritu