Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

Ubarikiwe sana mtoa maada.

Waovu wote wanamchukia mama.

Kiongozi aliyetoka kuchukua madaraka nchi ikiwa haipatani na majirani zake na migawanyiko ya kikabila iliyokuwa imeoteshwa na mshenzi mmoja pia migawanyiko ya kisiasa Kwa chuki za mshenzi yule.

Mama kaunganisha na hatimae tabasamu la kipindi Cha enzi kimeanza kurejea.

Mama tunakuombea Kwa hiyari yatu sio kwa maombi Yako kuwa tukuombee kama mshenzi mmoja alivyotaka tumuombee wakati hatumtaki.
 
Pumbafu, huko kwenu tarime waitara alikuwa msifiajj wa mshenzi akapewa mpaka unaibu waziri.

Huko hakuna lolote labda heche pekee
 
Kila mzanzibar anamsifu mama, adumu ili zanzibar izdi kuneemeka.
 
Nonsense, Punguani wa Aina hii mpo wengi sana.
 
Hakuna kiongozi bomu nchi imepata kama awamu hii. Kutwa kucha kiguru na nchi, eti kufungua nchi nani kasema imefungwa.
Nyie ndio wale huwa hamuoni thamani ya mtu hata afanye nini hadi aondoke. Alishaondoka akija mwingine unaanza kumsifu huyu na kumponda aliyepo. Hii ni aina flani ya saikolojia ya kundi la watu ambao hawaridhiki
 
Ana mapungufu yake ndio, ila ni improvement kubwa sana kuliko Magufuli
Wanaomchukia wengi hata sio Wapinzani ni wafuasi wa Magufuli...
Ili uitwe binadamu, lazima kwanza uwe na mapungufu. Tunachoangalia ni 'degrees'.
 
Kwa kweli siyo kwamba ni siasa special sema tu ni mfuatiliaji anayeenda ndani ya kiapo na ahadi na imani za chama chake. Huo ndiyo utaratibu mzuri na tungekuwa na viongozi kumi wa aina yake tungekuwa mbali sana kisiasa na kiuchumi.
Shida kubwa ya viongozi wengi wa nchi za Africa ni kutoheshimu katiba kanuni na sheria. Wakijiona wako vizuri kifikra kuliko waĺiotunga katiba! Na huamua kwa utashi wao kwa kudhania wana mawazo bora ya wengine. Matokeo ni kuvurunda na kuamua kung'ang'ania madarakani huku wakiogopa kushtakiwa wakitoka madaralani.
 
Yeah. Nakubaliana na wewe mkuu
 
Suala hili limenikumbusha maneno.....wakati Comrade, Maalim Seif (R..I..P) alipofika ikulu akitaka mashauri na Raisi J.M.Kikwete


Ilisikika akimjibu...." Hehe e hiyo tena, haina mfano wake Kabisa"
...maneno hayo yanajitosheleza

Uhakika Raisi SSH ni wa Watanzania....Wote
 
Kumamae maisha yalivo zidi kuwa magumu hivi.sisi.masikini hatuwezi kumpenda ... Hasaidii maskini kabisa.anangalia.matajiritu
 
Kwa hiyo yeye ndio kakufanya uwe masikini? Anyway unataka akufanyeje ili uwe tajiri?
Kumamae maisha yalivo zidi kuwa magumu hivi.sisi.masikini hatuwezi kumpenda ... Hasaidii maskini kabisa.anangalia.matajiritu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…