Rais Samia ni kiongozi Muadilifu, Wanaomchukia ni amma watu 'madhalimu' au wenye 'Husuda'

Ukweli ni kwamba RAIS SAMIA anafanya vizuri so far. Hii nchi ni kubwa, Nina Imani moaa 2025 atakua amefanya mengi. Akimalizaa ngwe yake ya pili 2030 Kwa mwendo huu, hakika atakua ameacha legacy ya kupigiwa mfano. Nina hakika hatuangushani na Mungu amsaidie
 
Waliomzunguka ndo wana tupa picha kama ni muadilifu au la siyo mleta mada. Sasa watanzania ndo wajuwao suala la uwadilifu wake siyo nyie wasomali.
 
Kwa tuliofuatlia matukio ya watu wa kuitwa Azizi, sina shida tena ya kutambua uelewa wako. πŸ˜‚πŸ˜‚ kufungua nchi, ilifungwa lini? Na kabla haijafungwa uchumi ulikuwaje, baada ya kufungwa uchumi ukawaje na sasa unavyoendelea kuifungua uchumi unaendaje? Haki zipi, kuwapiga wamasai na kumualika ikulu gaidi wa kwenye utawala wake? Wa kuanzisha kikosi kazi cha katiba ilihali ya warioba ilikusanya kila kitu?
 
Kwa hiyo yeye ndio kakufanya uwe masikini? Anyway unataka akufanyeje ili uwe tajiri?
Amualike ikulu km alivyomualika gaidi asome mazingira ya ikulu. πŸ˜‚πŸ˜‚ nchi ilifungwa vipi ilihali mnadai jpm alikopa sana, unakopeshwa na nani wakati nchi umeifunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…