CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Wewe ni chawa wa samiaSimpambi bali naongea ukweli .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni chawa wa samiaSimpambi bali naongea ukweli .
Mimi ni mzalendo wa Taifa .Wewe ni chawa wa samia
Hiki kilikuwa chuma kweli kweli! Kiliteleza tu kwa kutuletea andazi!
Machawa ndio waliojaa msongo wa mawazo. Huwezi.kua na akili za hivi halafu ujione uko timamu aisee.Ni Aibu kubwa kuwa na taifa lenye vijana machawa ni aibuEmbu acha mambo ya ukabila hapa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo
Mimi nilishasema kuwa mimi siyo chawa bali ni mzalendo na msema kweliMachawa ndio waliojaa msongo wa mawazo. Huwezi.kua na akili za hivi halafu ujione uko timamu aisee.Ni Aibu kubwa kuwa na taifa lenye vijana machawa ni aibu
Msema kweli siku zote hua haandiki upumbavu...Ni chawa pekee ndio anaweza kua na maandiko kama haya. Wewe sio msema kweli kakaMimi nilishasema kuwa mimi siyo chawa bali ni mzalendo na msema kweli
Ipo siku utaelewa na kutambua uzalendo wangu kwa Taifa letuMsema kweli siku zote hua haandiki upumbavu...Ni chawa pekee ndio anaweza kua na maandiko kama haya. Wewe sio msema kweli kaka
Hamna chawa mzalendo hata siku mojaIpo siku utaelewa na kutambua uzalendo wangu kwa Taifa letu
Mimi ni mzalendoHamna chawa mzalendo hata siku moja