Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #161
Mimi silipwi na mtu na wala sipo hapa kuwasifia watu . Mimi naongea ukweli na uhalisia tu bila malipo.Basi msifie Tulia Ackson,au Tulia hujakupa ile hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi silipwi na mtu na wala sipo hapa kuwasifia watu . Mimi naongea ukweli na uhalisia tu bila malipo.Basi msifie Tulia Ackson,au Tulia hujakupa ile hela?
Mimi silipwi na mtu na wala sipo hapa kuwasifia watu . Mimi naongea ukweli na uhalisia tu bila malipo.
Hata wewe unayo nafasi ya kufanya hivyo. Usisubiri na kunisubiri mimi nifanye kila kituSawa basi Ongelea ukweli wa Doto Biteko bila malipo,au January Makamba
Hakuna mkulima asiyekuwa na akili wewe ni chawa tuKwani kilimo ninachofanya siyo kazi ya Maana?
Utaendelea kusema hivyo hivyo wakati mimi nikiendelea kuchapakaziHakuna mkulima asiyekuwa na akili wewe ni chawa tu
Ndiyo kazi yako ya kumsifia samia tunaiona hapa jukwaaniUtaendelea kusema hivyo hivyo wakati mimi nikiendelea kuchapakazi
Kazi yangu ni mkulimaNdiyo kazi yako ya kumsifia samia tunaiona hapa jukwaani
Au Doto hajakufikisha kama mama?Hata wewe unayo nafasi ya kufanya hivyo. Usisubiri na kunisubiri mimi nifanye kila kitu
Wewe ni chawa tu si zaidi ya hapoKazi yangu ni mkulima
Mimi siyo chawaWewe ni chawa tu si zaidi ya hapo
Umegraduate kutoka kuwa chawa sasa umekuwa kunguni.Mimi siyo chawa
Mimi ni mzalendoUmegraduate kutoka kuwa chawa sasa umekuwa kunguni.
Chawa tu wewe. Uzalendo wa mtu hupimwa kwa matendo yake,wewe matendo yako hapa jukwaani ni kumsifia na kumtukuza samia tu,na huu ndiyo uchawa wenyewe.Mimi ni mzalendo
Bado mgonjwa hali yake sio nzuri anaendelea na dawa tatizo hafuati kuchukua.Unaendeleaje na hali lakini Lucas?
Mimi naandikia wenye akili Timamu na wanaojitambua na wanatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanYaan nyuzi zako wewe Lucas Mashabwa zinachafuaga hali ya hewa.
Utadhani ni vile watu mmetulia na stori zenu af anakuja mtu aliyeshiba maharage yaliyoungulia af anaachia bonge la shuuzi.
Mimi naongea ukweli na uhalisia na siyo kusifia na kuimba pambio kama kasuku.Chawa tu wewe. Uzalendo wa mtu hupimwa kwa matendo yake,wewe matendo yako hapa jukwaani ni kumsifia na kumtukuza samia tu,na huu ndiyo uchawa wenyewe.
Yaaani haswa wewe ni kasuku wa kumpamba samia.Mimi naongea ukweli na uhalisia na siyo kusifia na kuimba pambio kama kasuku.
Simpambi bali naongea ukweli .Yaaani haswa wewe ni kasuku wa kumpamba samia.