Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Haya bwana😂😂😂Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Lissu Wazi kabisa kuwa hawezi kushindana na Rais Samia katika sanduku la kura.Mama anaupiga mwingi. Lissu kafanya vyema kujitoa ili kuhakikisha mama anapata ushindi wa 99%. Nampongeza Lissu kwa kuwapumbaza wafuasi wake. Hata kama ni mimi nisingeweza kum-challenge mtu aliyekuja hospitali kuniona na kuhakikisha napata maslahi yangu yote.
Rais Samia ni Kipenzi cha watanzania wote.
Wacha kufuru wewe kapuku huyo mtu wako mikono yake imejaa damuNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kipenzi cha chawa tuRais Samia ni Kipenzi cha watanzania wote.
Uwe na adabu wewe Uliyekosa malezi ya wazazi wako. Rais Samia ni Kiongozi safi na Mtenda haki.ndio maana unaona hata Lissu na akina Lema walirejea Nchini kutoka ughaibuni. kwa sababu walijua na wanatambua ya kuwa RAIS Samia ni Mama wa Haki na mwenye upendo kwa watu wote na mwenye mikono safi. Ndio maana unaona wapo Nchini.Wacha kufuru wewe kapuku huyo mtu wako mikono yake imejaa damu
Kipenzi cha watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambuaKipenzi cha chawa tu
Mimi nawaambieni ukweli.Luca unajua kukera 😁
SAMIA kamwe hawezi kuwa Nuru na mwanga wa Tanzania na hatakuja kuwa kamwe.Nuru na mwanga wa Tanzania ni YESU KRISTU PEKEE ambaye ni mwanga na Nuru ya mataifa yote nje ya hapo utaingia chaka LUCAS acha ushabiki unaokuondolea ufahamu wa Akili zako.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Rais Samia ni chaguo la Mungu Mwenyewe na aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu. Mungu ndiye amemleta na kumuinua Rais Samia kuongoza Taifa letu kwa makusudi maalumu.Ni nuru kwa machawa na mwanga kwao, Sisi wengine aliye nuru kwetu na mwanga kwetu ni Yesu kristo muumba mbingu na nchi na vyitu vyote vilivyomo
Uliyekosa malezi ni wewe usiyemjua baba maana mimba yako ilitungwa kwenye mkesha wa mwenge.Uwe na adabu wewe Uliyekosa malezi ya wazazi wako. Rais Samia ni Kiongozi safi na Mtenda haki.ndio maana unaona hata Lissu na akina Lema walirejea Nchini kutoka ughaibuni. kwa sababu walijua na wanatambua ya kuwa RAIS Samia ni Mama wa Haki na mwenye upendo kwa watu wote na mwenye mikono safi. Ndio maana unaona wapo Nchini.
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kwa watanzaniaSAMIA kamwe hawezi kuwa Nuru na mwanga wa Tanzania na hatakuja kuwa kamwe.Nuru na mwanga wa Tanzania ni YESU KRISTU PEKEE ambaye ni mwanga na Nuru ya mataifa yote nje ya hapo utaingia chaka LUCAS acha ushabiki unaokuondolea ufahamu wa Akili zako.
Labda kwa mashoga na wasagajiNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Umesamehewa makosa yako yoteUliyekosa malezi ni wewe usiyemjua baba maana mimba yako ilitungwa kwenye mkesha wa mwenge.
Labda mungu baali.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe kwa watanzania