Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Wiki yenu kina Eskariot šMimi nawaambieni ukweli.

Mimi huwa napenda kuwaambieni ukweliNilivyoona heading nikajua huyu lazima atakuwa ni Lucas hakika ni wewe
In Magufuli's voiceMimi huwa napenda kuwaambieni ukweli
Lazima tujifunze kuzungumza ukweli bila kujali watu wataupokeeje huo ukweli.In Magufuli's voice
Kwa ulichosema ... Kujifunza kusema ukweli Bila kujali watu wataupokeeaje huo ukweli.Lazima tujifunze kuzungumza ukweli bila kujali watu wataupokeeje huo ukweli.
Mimi huusema ule ukweli wenyewe kama unavyopaswa kusemwa.Kwa ulichosema ... Kujifunza kusema ukweli Bila kujali watu wataupokeeaje huo ukweli.
Umesema ukweli ...
Kuna ukweli wako
Kuna ukweli wangu
Kisha Kuna ukweli wenyewe
Na kheri yule asemaye ukweli, wenye kuendana na ukweli wenyewe
Tunamshukuru sana maana amekuja kuibomoa ccm baada ya jpm kuibomoa taratibu huyu anaibomoa kwa kasiNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Mama yetu akisimama kuzungumza na kufungua kinywa na mdomo wake unaona akitoa maneno ya kuwapa na kuwajaza matumaini hai watu juu ya kesho iliyo njema. Huoni wala kumsikia Mama yetu kipenzi akiwatia na kuwajaza hofu au uoga watu wala kuwakatisha Tamaa wala kuwatisha . Ni Mama mwenye kuonyesha na kuongoza njia yenye matumaini na kuonyesha watu ni vipi tutafika huko tuendako. Ndio maana watu wana imani na safari ya Mama yetu na wapo tayari kumfuata na kusafiri naye.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
RIP MZEE KIBAO na wengine wote waliouwawa chini ya utawala huuNdugu zangu Watanzania,

CCM ni imara sana kuliko wakati mwingine wowote ule katika historia yake. Hakuna chama chenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM kwa sasa chini ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu HasssanTunamshukuru sana maana amekuja kuibomoa ccm baada ya jpm kuibomoa taratibu huyu anaibomoa kwa kasi
Huyu mjinga mpaka wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi kurudisha gharama kdg za kulea jitu jingaUliyekosa malezi ni wewe usiyemjua baba maana mimba yako ilitungwa kwenye mkesha wa mwenge.
Yaani ni mambo ya hovyo snRIP MZEE KIBAO na wengine wote waliouwawa chini ya utawala huu
hakika mungu wa haki atawalipia siku moja
NO REFORMS NO ELECTION
Uwe na adabu dogo kwa kaka zako . Moshi usikuharibu akili yako.Naona UWT umerudi kwa kasi haswa
Bado mnaogopa tume huru ili muendelee kuiba mana hamna uhakika kama mtashinda ndo mana mmechanganyikiwa na no reforms no election. Wekeni tume huru muone mziki wa chademaCCM ni imara sana kuliko wakati mwingine wowote ule katika historia yake. Hakuna chama chenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM kwa sasa chini ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
Kopo na mfuniko wake mmekutanaHuyu mjinga mpaka wazazi wake wanaombea afe wapate hata rambirambi kurudisha gharama kdg za kulea jitu jinga
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda na kupita kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaBado mnaogopa tume huru ili muendelee kuiba mana hamna uhakika kama mtashinda ndo mana mmechanganyikiwa na no reforms no election. Wekeni tume huru muone mziki wa chadema
Uchaguzi utafanyika na upo palepaleRIP MZEE KIBAO na wengine wote waliouwawa chini ya utawala huu
hakika mungu wa haki atawalipia siku moja
NO REFORMS NO ELECTION
Mbona mnaogopa sasa tume hiyo. Kubalini kama mnajiamini. Mnaogopa niniHata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda na kupita kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima