Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
CCM ndio tumaini la watanzania. Si unaona CHADEMA wanavyong'ang'aniana fito na kutwangana mangumi Utafikiri walevi wa gongoMnaogopa kama ukoma

UWT mnatumika kufanya uchocheziCCM ndio tumaini la watanzania. Si unaona CHADEMA wanavyong'ang'aniana fito na kutwangana mangumi Utafikiri walevi wa gongo
Naipenda jamii forum ila kuna muda mapepo yanatoka huko yalikotoka yanakushawishi uende nje ya kanuni za humu,any way acha tunyamazeNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Huyu Mama Mwenye moyo wa Upendo,huruma, Ukarimu, Unyenyekevu, Uzalendo na Moyo wa kujitoa na kujitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watanzania katika kuleta matumaini na tabasamu kwa watu wote.
Amekuwa ni nuru na Mwanga wa Taifa letu katika mioyo ya mamilioni ya watanzania. Kila mmoja anaona mwanga mbele ya Uso wake, kila mmoja anaona tumaini machoni pake ,Maisha ya watanzania yamejaa matumaini na Mwanga wa kesho iliyo bora zaidi . Kila kundi na kila rika linaona unafuu wa Maisha kwa siku ya kesho.
Rais Samia amefanyika kama Baraka na Neema katika maisha ya watu. Mikono yake imekuwa kwa ajili ya kuwainua watu, kuwashika mikono watu walioanguka, . Macho yake Yamekuwa yenye huruma kwa maisha ya watu. Hayupo Tayari kuona mtanzania akiteseka katika nchi yake,hayupo tayari kuona macho yake yakiona mtu mbele yake akionewa,kunyanyaswa,kukandamizwa,kuzurumiwa au kunyonywa .
Ni Mama mpenda haki na mtenda haki kutokana na kuwa na Mungu ndani yake. Ndio sababu ya kuona nyuso za watanzania zikiwa zimejawa furaha na tabasamu wakati wote. Huoni watu wakizungumza wenyewe mabarabarani kama vichaa au wendawazimu.
Mama yetu akisimama kuzungumza na kufungua kinywa na mdomo wake unaona akitoa maneno ya kuwapa na kuwajaza matumaini hai watu juu ya kesho iliyo njema. Huoni wala kumsikia Mama yetu kipenzi akiwatia na kuwajaza hofu au uoga watu wala kuwakatisha Tamaa wala kuwatisha . Ni Mama mwenye kuonyesha na kuongoza njia yenye matumaini na kuonyesha watu ni vipi tutafika huko tuendako. Ndio maana watu wana imani na safari ya Mama yetu na wapo tayari kumfuata na kusafiri naye.
Ifahamike ya kuwa mkuu wa Nchi anaweza kuweka giza katika maisha ya watu, anaweza fanya watu wakawa wanajuta kuzaliwa ndani ya nchi husika,anaweza fanya watu wakakata tamaa na kupoteza Matumaini kila uchao, kutoona tumaini mbele yao,kuona ya jana ni bora kuliko ya leo. Kuona wanaishi kama wapo jehanamu na kutokuwa na uhakika wa kuiona kesho yao wakiwa wazima na wenye kupumua.
Hii hutokea pale aliyekalia kiti anapokuwa Dikteta ,katili na Asiyejali wala kuguswa na hali mbaya za watu wake. Taifa linakuwa linakuwa ni kama limefiwa au lipo katika maombolezo muda wote.kwa kuwa mioyo ya watu inakuwa ina huzuni na kukosa amani na furaha muda wote. Watu wanakuwa hawana mfariji wala wa kuwatia moyo kwa sababu aliyepo kitini hana hisia za upendo wala huruma wala kujali wala kuguswa na hivyo kufanya mambo na kuchukua hatua za kuwaumiza watu na kuleta mateso katika maisha ya watu. Kutoa lugha na maneno yenye kuchoma mioyo ya watu na kuwakatisha Tamaa.
Lakini Rais Samia Amekaa kitini na kuwa kama nyota ya asubuhi iletayo Matumaini ya Mapambazuko na kuondoka kwa giza .Mama Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu Mwenyewe kuliongoza Taifa letu.View attachment 3307130View attachment 3307136View attachment 3307140
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ni Nuru kwa majinga na matapeli. Shetani kabisa wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaNdugu zangu Watanzania,

Mungu akusamehe sana maana hujui ulitendaloNi Nuru kwa majinga na matapeli. Shetani kabisa wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Basi ni changu doa wa kiumeMimi siyo chawa bali ni msema kweli tu.
Selfishness,ndo maana mmefungwa akili.Hata kama ni mimi nisingeweza kum-challenge mtu aliyekuja hospitali kuniona na kuhakikisha napata maslahi yangu yote.
Akili yako ina matatizo makubwa sananuru na mwanga wa matackle yako
Asante
Wabadhirifu wa mali ya umma huchukuliwa hatua kali za kisheria baada ya kubainika. Hakuna Mtumishi mbadhirifu aliye salama katika uongozi huu wa Jemedari wetu hodari.
Ndugu zangu Watanzania,