Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

Nilivyoona heading nikajua huyu lazima atakuwa ni Lucas hakika ni wewe
 
Lazima tujifunze kuzungumza ukweli bila kujali watu wataupokeeje huo ukweli.
Kwa ulichosema ... Kujifunza kusema ukweli Bila kujali watu wataupokeeaje huo ukweli.

Umesema ukweli ...

Kuna ukweli wako
Kuna ukweli wangu
Kisha Kuna ukweli wenyewe

Na kheri yule asemaye ukweli, wenye kuendana na ukweli wenyewe
 
Mimi huusema ule ukweli wenyewe kama unavyopaswa kusemwa.
 
Tunamshukuru sana maana amekuja kuibomoa ccm baada ya jpm kuibomoa taratibu huyu anaibomoa kwa kasi
 
RIP MZEE KIBAO na wengine wote waliouwawa chini ya utawala huu
hakika mungu wa haki atawalipia siku moja
NO REFORMS NO ELECTION
 
Tunamshukuru sana maana amekuja kuibomoa ccm baada ya jpm kuibomoa taratibu huyu anaibomoa kwa kasi
CCM ni imara sana kuliko wakati mwingine wowote ule katika historia yake. Hakuna chama chenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kushindana na CCM kwa sasa chini ya Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan
 
Bado mnaogopa tume huru ili muendelee kuiba mana hamna uhakika kama mtashinda ndo mana mmechanganyikiwa na no reforms no election. Wekeni tume huru muone mziki wa chadema
 
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itashinda na kupita kwa kishindoo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…