Rais Samia ni Nuru na Mwanga wa Taifa letu na watanzania wote kwa ujumla wake

Naipenda jamii forum ila kuna muda mapepo yanatoka huko yalikotoka yanakushawishi uende nje ya kanuni za humu,any way acha tunyamaze
 
Ni Nuru kwa majinga na matapeli. Shetani kabisa wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Wabadhirifu wa mali ya umma huchukuliwa hatua kali za kisheria baada ya kubainika. Hakuna Mtumishi mbadhirifu aliye salama katika uongozi huu wa Jemedari wetu hodari.

Kama zipi? Na kina nani? Acha kudanganya watu. Mwenyezi Mungu hazihakiwi. Kuiba si ndio kula urefu wa kamba yako?
 


Kwa mambo yooooooote mazuri na ya msingi aliyofanya but still kila saa na kila muda anaimbwa yeye na kusemewa yeye na kutetewa yeye tu

Mnajihami na nini?

Me nilidhania kwa mambo ambayo Rais amefanya hata msingefanya kampeni na mngechaguliwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…