Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Ndugu zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia Amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia watanzania kwa Dhati ya moyo wake, Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi wakati mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na mh Rais Tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki

Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na watanzania tuliobaki hapa nyumbani

Ni kiongozi anayetamani kuona watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa Dunia, Anataka kuona watanzania Hatubaki nyuma Wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji , wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakao leta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu

Kaiheshimisha Sana Tanzania kwa sasa ndio maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini, Sasa uwekezaji unaongezeka siku Hadi siku Hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana, mapato ya Kodi yataongezeka, Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato Cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa Kias Cha kutosha Cha fedha kinachowekwa na watu Kama akiba,

Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi Naona maisha ya mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila mtanzania na kila mmoja atakula, kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, Kila mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya Asali na Maziwa

Hakika Rais samai Ni zawadi kwetu watanzania, kiukweli Anatukosha Sana watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu, Rais Samia Ni mama Wa Taifa, Mlezi Bora wa Taifa Na mama Mwenye Maono ya Mbali, Hakika uongozi wake utaacha Alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa haya Ni Matunda ya Mama wa Taifa Samia suluhu Hassani

Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge

Lucas Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hakuna chá zawadi wala nini hata jiwe mlikuwa mnamsujudia kama huyu wasasa hamna jipya hata moja.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Ukijivunia wewe inatosha!
Vijana wengine ni kama wale waliopoteza fursa walizo pewa wanajaribu sasa kuzirudisha fursa,sijui kama wanaijua ile misemo ya wahenga,wakati ukuta,bahati huja mara moja.Maskini akipata ......,Mawazo ya anga zananiambia hivi ni jamii ya akina Konda boy na akina Saa mbovu🥱
 
Ukakasi upi, unataka kupingana na reality, tena reality of science?
Sawa mwana sayansi bila shaka huwa maneno ya namna hiyo huwa unayazungumza hata kwa wazazi wako bila hofu kwa kuwa hayo ndio matunda ya gharama ya Elimu waliyo kulipia shuleni kusoma sayansi
 
Ni mamilioni ya watanzania wanaridhishwa na utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia ulioacha Alama katika mioyo yao

Alisemwa hivo kila Rais aliyewahi kuiongoza nchi hii. Kuanzia JKN, HAM, BWM, JMK, JPM na hata SSH na hata wengine watakaokuja. Unatosha wewe kusifia SSH na kwa tabia yako hii hata JPM alipokuwa madarakani - ulisifia hivi hivi.

Kujipendekeza ni tabia. Lakini si tabia ya ujumla. Kitu kimoja cha wazi kwa wanaojipendekeza - kupenda kuwakilisha wengine. Kama hapa unavotuwakilisha kupitia mawazo yako binafsi.

Jitenge na kuniwakilisha!
 
Maoni yako tu
Vijana wengine ni kama wale waliopoteza fursa walizo pewa wanajaribu sasa kuzirudisha fursa,sijui kama wanaijua ile misemo ya wahenga,wakati ukuta,bahati huja mara moja.Maskini akipata ......,Mawazo ya anga zananiambia hivi ni jamii ya akina Konda boy na akina Saa mbovu🥱
 
Alisemwa hivo kila Rais aliyewahi kuiongoza nchi hii. Kuanzia JKN, HAM, BWM, JMK, JPM na hata SSH na hata wengine watakaokuja. Unatosha wewe kusifia SSH na kwa tabia yako hii hata JPM alipokuwa madarakani - ulisifia hivi hivi.

Kujipendekeza ni tabia. Lakini si tabia ya ujumla. Kitu kimoja cha wazi kwa wanaojipendekeza - kupenda kuwakilisha wengine. Kama hapa unavotuwakilisha kupitia mawazo yako binafsi.

Jitenge na kuniwakilisha!
Labda wewe ndio uliyejitenga lakini huku niliko mtaani Ni watanzania wengi Sana wenye Imani na mh Rais Samia
 
Mnataka demokrasia gani Zaid ya hii kubwa iliyopo hapa nchini ambayo badala ya kuzitumia vyema nyinyi mmejikita katika kuporomosha matusi tu kwa kila Jambo kana kwamba mmevurugwa akili
Ni Imani yangu kuwa hakuna kijani yeyote aliye wahi kuwa Zawadi kwa Mtanzania wa kawaida,siku ikitokea

Kama yalivyo kuwa maoni yako na ndiyo Demokrasia wanayoiogopa Kijani🥱
 
Ndugu zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia Amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia watanzania kwa Dhati ya moyo wake, Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi wakati mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na mh Rais Tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.

Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na watanzania tuliobaki hapa nyumbani.

Ni kiongozi anayetamani kuona watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa Dunia, Anataka kuona watanzania Hatubaki nyuma Wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji , wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakao leta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.

Kaiheshimisha Sana Tanzania kwa sasa ndio maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini, Sasa uwekezaji unaongezeka siku Hadi siku Hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana, mapato ya Kodi yataongezeka, Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato Cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa Kias Cha kutosha Cha fedha kinachowekwa na watu Kama akiba.

Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi Naona maisha ya mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila mtanzania na kila mmoja atakula, kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, Kila mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya Asali na Maziwa.

Hakika Rais samai Ni zawadi kwetu watanzania, kiukweli Anatukosha Sana watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu, Rais Samia Ni mama Wa Taifa, Mlezi Bora wa Taifa Na mama Mwenye Maono ya Mbali, Hakika uongozi wake utaacha Alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa haya Ni Matunda ya Mama wa Taifa Samia suluhu Hassani.

Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge.

Lucas Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Unalipwa shilingi ngapi?
 
Unalipwa shilingi ngapi?
Silipwi chochote zaidi ya kazi anazofanya mh Rais wetu katika kututumikia watanzania kwa moyo wa uzalendo na wakutukuka, labda nikuulize wewe huwa unalipwa shilingi ngapi mpaka unashinda muda wote ukipinga na kukosoa kila kitu kizuri kinachofanywa na serikali hii ya mama Samia? Kwambaa Kwako hakuna jema la serikali hii? Naona wewe Hata akija malaika kuongoza Tanzania utampinga kwa mazuri anayoyafanya na kusema Ni shetani anayejipa jina la umalaika
 
Alambe asali ya wapi huyu! Anajikomba komba tu ili afikiriwe kwenye uteuzi. Amechagua kujitoa ufahamu, ili maisha yaendelee!

Hawa ndiyo wale uvccm ambao akili zao zote wamezihamisha kutoka kichwani, na kuzipeleka tumboni.
Hata maneno ya huyu jamaa yanaonesha kuwa na yeye alikuwa anajikomba komba ili afikiriwe na yeye kama alivyofikiriwa mwenzake Mbatia enzi zile.
Tanzania hatuna wana siasa bali tuna wachumia tumbo tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20220605-082514_1.jpg
    Screenshot_20220605-082514_1.jpg
    159.8 KB · Views: 5
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.

Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.

Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.

Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.

Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.

Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.

Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Usichoke kada. Watu watakukatisha tamaa lakini usichoke. Najua unakumbuka maneno aliyokuwa anakuambia shaka siku ile nimewakuta pale hotel. Utatoka tu la msingi ni kutokata tamaa..juhudi zako zinaonekana. Unajitahidi.
 
Tukana tu maana ndio mnavyofundishwa na kulishwa vitu vinavyo athiri uwezo wenu wa kufikiri, Hutaki kulipa tozo kiasi halafu hapo hapo unataka huduma Bora hospitalini, kwa hiyo unataka Nani abebe wajibu wa kuboresha huduma hospitalini Kama hutaki kuwajibika kwa kulipa tozo kwa uzalendo? Unazani waliyopiga hatua za kimaendeleo huko ulaya hawakulipa Kodi na Tozo? Unazani hawakujibana na kujinyima kujenga nchi zao, unataka wao wateseke na kupata maumivu ya kulipa tozo na Kodi huko ulaya ili wewe uje hapa upokee tu kwa Raha zako? Lipa Kodi na Tozo kwa maendeleo ya Taifa lako
Usichoke dogo. Watu watakukatisha tamaa lakini usichoke. Najua unakumbuka maneno aliyokuwa anakuambia shaka siku ile nimewakuta pale hotel. Utatoka tu la msingi ni kutokata tamaa..juhudi zako zinaonekana. Unajitahidi.
 
Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.

Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.

Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.

Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.

Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.

Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.

Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.

Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Hata Uganda enzi za Amini walisema ni zawadi iliyoletwa kutoka Mbinguni kuiongoza Uganda!

Cc. dronedrake
 
Back
Top Bottom