Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Yaani mkuu. Haongozi nchi ya watu wasiojielewa.

Hebu tuambizani majukumu yake aliyoyaapa ni yepi na ametekeleza yepi extraordinary?
 
Mh Rais wetu mpendwa Ameapa kuilinda na kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, Ameapa kiapo Cha Urais, Ameapa kuulinda muungano wetu na Kututumikia watanzania bila ubaguzi, vitu vyote hivyo mh Rais wetu mpendwa anavitekeleza kwa weledi na ufanisi mkubwa sana
Yaani mkuu. Haongozi nchi ya watu wasiojielewa.

Hebu tuambizani majukumu yake aliyoyaapa ni yepi na ametekeleza yepi extraordinary?
 
Tumechelewa Sana sasa ni zaidi ya miaka 60 ya Uhuru ilitupasa tuwe mbali zaidi ya tulipo leo.na niwajibu wake kufanya kile kinachotakiwa kukifanya.
 
Rubbish
 
Kuzuia mikutano ya siasa kwa vyama shindani huku ziara za viongozi wetu wa CCM zikisindikizwa na vyombo vya dola vya umma, hii imekaaje kwenye eneo la kutodumisha ubaguzi?
 
Mi Rais Samia namkubali 💯 ila tu kumkandia Dkt Magufuli hapo ndiyo huwa naona anakosea sana. Kama hataki kuudhi upande wowote bora asimshambulie Dkt Magufuli.
 
Kuzuia mikutano ya siasa kwa vyama shindani huku ziara za viongozi wetu wa CCM zikisindikizwa na vyombo vya dola vya umma, hii imekaaje kwenye eneo la kutodumisha ubaguzi?
Suala la mikutano ya hadhara kwa vyama vyote bado masuala ya kimaridhiano yanaendelea Kama tulivyoarifiwa watanzania,CCM wanachofanya kwa Sasa Ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani yake
 
Sawa mwana sayansi bila shaka huwa maneno ya namna hiyo huwa unayazungumza hata kwa wazazi wako bila hofu kwa kuwa hayo ndio matunda ya gharama ya Elimu waliyo kulipia shuleni kusoma sayansi
Pumbavu, nenda kafue underW maana kwa kumsujudia huko unaweza kufanya kwa Moyo mkunjufu
 
Suala la mikutano ya hadhara kwa vyama vyote bado masuala ya kimaridhiano yanaendelea Kama tulivyoarifiwa watanzania,CCM wanachofanya kwa Sasa Ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani yake
Akili mbovu kumbe, vyama vingine vitafanya lini utekelezaji wa uyagutaji wa wanachama nankueneza Sera zake.
 
Subiri uwe na subira wakati utaratibu unawekwa vizuri Kama tulivyotangaziwa na serikali yetu pendwa
 
Unatukanwa kwa sababu unatetea uvunjaji wa sheria na katiba za nchi. Mikutano ya kisiasa ikpo kisheria... hakuna wa kuikataza nlabda mahakama tu! tena kwa sababu maalum siyo discretion ya mahakama
 
Suala la mikutano ya hadhara kwa vyama vyote bado masuala ya kimaridhiano yanaendelea Kama tulivyoarifiwa watanzania,CCM wanachofanya kwa Sasa Ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani yake
Ukiacha kuwaza kipumbavu utaelewa kuwa Katiba iliyoapwa kulindwa ndo inavunjwa na walioiapa. Nchi inamilikiwa na CCM na siyo wanachi kama Katiba inavyotaka. CCM imejipa mandate ya kufanya maamuzi yanayoshurutisha dola kufuata. Uhuru wa Tanzania unapaswa kuhuishwa kupitia Katiba ya Wananchi.

Kasome Ibara ya 18 ya Katiba kisha rudi hapa tuendelee na mjadala.

Hakuna neno MARIDHIANO kwenye clauses za Katiba. Mimi ninachokiona ni kuwa mnaotumwa kusifia sifia hamjai hata kwenye kikombe
 
Uhuru
Uhuru wako unapoishia ndio wa mwingine unapoanzia, Hivyo lazima utambue kuwa katiba imetoa Uhuru wa maoni lakini Uhuru huo una mipaka yake,
 
Naamini unaweza kunikosoa na kunipinga kwa hoja bila hata kunitukana, japo Mimi hata ukinitukana Sana na kwa matusi yoyote siwezi nikakutukana maana najuwa naweza kubishana kwa hoja bila kukutukana
Unatukanwa kwa sababu unatetea uvunjaji wa sheria na katiba za nchi. Mikutano ya kisiasa ikpo kisheria... hakuna wa kuikataza nlabda mahakama tu! tena kwa sababu maalum siyo discretion ya mahakama
 
Naamini unaweza kunikosoa na kunipinga kwa hoja bila hata kunitukana, japo Mimi hata ukinitukana Sana na kwa matusi yoyote siwezi nikakutukana maana najuwa naweza kubishana kwa hoja bila kukutukana
Unatukanwa kwa sababu unatetea uvunjaji wa sheria na katiba za nchi. Mikutano ya kisiasa ikpo kisheria... hakuna wa kuikataza nlabda mahakama tu! tena kwa sababu maalum siyo discretion ya mahakama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…