Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #161
Nashukuru kwa mchango wakoDiversion ahead‼️
MAN AT WORK
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru kwa mchango wakoDiversion ahead‼️
MAN AT WORK
Hana uwezo huo. Mimi ndiyo namlisha kupitia kodi yangu ninayolipa kule TRA.Fanya kazi,usitegemee Samia atakuletea bakuli la ugali na mlenda
Ukiwa kama mmoja wa wale walamba asali wake, hakika nakuunga mkono. Yaani uko sahihi kabisa.Samia ni Rais Bora kwa ukanda wa afrika
Kweli hii ni zawadi kwa watanzania maana Rais Samia Suluhu aliahidi kufanya maendeleo yanayomlenga direct mwananchi na amefanikiwa ndani ya siku 570 za utawala wake ameboresha sekta ya elimu, afya, miundombinu, kilimo na mengine mengi.Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.
Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.
Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.
Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.
Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.
Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.
Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Tatizo la watanzania hamtaki watu wameseme mazuri ya serikali mnataka kila mtu apinge tu kusema maendeleo yanayoonekana ni moja ya uzalendo na sio kutafuta teuzi Rais Samia Suluhu anafanya kazi kubwa ya maendeleo kwaajili yako wewe na mimiAlambe asali ya wapi huyu! Anajikomba komba tu ili afikiriwe kwenye uteuzi. Amechagua kujitoa ufahamu, ili maisha yaendelee!
Hawa ndiyo wale uvccm ambao akili zao zote wamezihamisha kutoka kichwani, na kuzipeleka tumboni.
Kua mzalendo utaona mama amefanya kazi kubwa ndani ya siku 570 uchumi wa Tanzania umepanda kwa asilimia 5.7Mnampiga hela, halafu mnakuja kumsifia...Ila NYIEEEE[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwenye uongozi tena wa kuomba kupigwa kura hakuna Cha zawadi hapa, wakati anakua Mgombea mwenza alijua kwamba bila kujali rais you hai au la Yapo majukum atayatekeleza endapo Rais amesafiri au hayupo kabisa( kifo)Ndugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.
Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.
Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.
Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.
Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.
Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.
Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Kwenye uongozi tena wa kuomba kupigwa kura hakuna Cha zawadi hapa, wakati anakua Mgombea mwenza alijua kwamba bila kujali rais you hai au la Yapo majukum atayatekeleza endapo Rais amesafiri au hayupo kabisa( kifo)
Kama angeona hawezi angekataa kua Mgombea mwenza so afanye kazi hakuna Cha zawadi hapa ,umesikia wewe mwanaccm ,mfikishie ujumbe mwenyekiti wako
Nijivunie Kwan ananilisha
Mnajivunia wewe na nani?
Mwezi huu ni wa afya ya akili wahi mirembe ukapate matibabuNdugu zangu hivyo ndivyo unavyoweza kusema, Rais Samia amejitoa na kujitolea kwa moyo wake wote kututumikia Watanzania kwa dhati ya moyo wake. Ni kiongozi ambaye mawazo yake yapo katika kuona kila siku walau maisha ya mtanzania mmoja au kundi la watanzania linainuka kiuchumi, wakati Mtanzania mwingine au kundi lingine nalo likiwa limeshikwa mkono na Rais, tayari kwa kuinuliwa kiuchumi kutoka katika dhiki.
Rais Samia kila anakokwenda unaona akitafuta fursa za kuwanufaisha Watanzania, kila anakokwenda unaona Rais Samia akitafuta mwanya wakuona Watanzania wenye uwezo wanafanya biashara katika nchi husika, kila aendako unaona moyo wa Rais Samia umeunganika na Watanzania tuliyobaki hapa nyumbani.
Ni kiongozi anayetamani kuona Watanzania tuna neemeka na fursa zote zinazopatikana popote pale katika uso wa dunia. Anataka kuona Watanzania hatubaki nyuma wala kuachwa na wenzetu, anataka kuona Tanzania inakuwa kimbilio na chaguo la kwanza la wawekezaji, wafanyabiashara wakubwa, watalii, wanamichezo, wageni na kila aina ya uwekezaji utakaoleta fursa katika nchi yetu na kusisimua na kukuza uchumi wetu.
Kaiheshimisha sana Tanzania kwa sasa ndiyo maana unaona namna watalii wanavyozidi kumiminika hapa nchini. Sasa uwekezaji unaongezeka siku hadi siku, hali itakayochochea kuongezeka kwa fursa za ajira kwetu vijana na mapato ya kodi yataongezeka.
Huduma mbalimbali za kijamii zitazidi kuboreshwa, kipato cha mwananchi mmoja mmoja kitaongezeka, mzunguko wa fedha utakuwa wenye Afya, mabenki yataongeza wanufaika wa mikopo na kupunguza riba kutokana na kuwepo kwa kiasi cha kutosha cha fedha kinachowekwa na watu kama akiba.
Kupitia juhudi hizi za Rais Samia katika kuimarisha diplomasia yetu ya uchumi, naona maisha ya Mtanzania yakiboreka na kuendana na utajiri wa nchi yetu, keki ya Taifa itafika kwa kila Mtanzania na kila mmoja atakula. Kila mmoja ataona faida ya utajiri huu tuliopewa na mwenyezi Mungu, kila Mtanzania atajivunia kuwa na kuzaliwa Tanzania katika nchi ya asali na maziwa.
Hakika Rais samai ni zawadi kwetu Watanzania, kiukweli anatukosha sana Watanzania kwa namna anavyochapa kazi, kwa namna alivyo mbunifu na anavyo tafuta fursa kwa ajili ya nchi yetu. Rais Samia ni mama wa taifa, mlezi bora wa Taifa na mama mwenye maono ya mbali. Hakika uongozi wake utaacha alama za kimaendeleo zitakazokumbukwa vizazi na vizazi na kusemwa kuwa, haya ni matunda ya Mama wa Taifa, Samia suluhu Hassani.
Kazi iendelee, Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge.
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mnampiga hela, halafu mnakuja kumsifia...Ila NYIEEEE[emoji38][emoji38][emoji38]
Mwezi huu ni wa afya ya akili wahi mirembe ukapate matibabuj
Nipo zangu shambani Mimi naunga juhudi za mh Rais wetu mpendwa kwa kufanya kaziMnampiga hela, halafu mnakuja kumsifia...Ila NYIEEEE[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe hatutaki sifa na wala hutofanywa mbunge wa viti maalum wala hutopandishwa cheo wala hutopewa uongozi wowote hiyo tunaijua hiyo
Lazima afanye kazi kwani si analipwa mshahara, Sasa hapa tumpongeze KWa lipi kwati ni wajibu wake ,ndo maana akakubali iyo kazi ,na ndo maana analipwa mshahara na kutunzwa KWa kodi za watanzania, Sasa pongenzi za nini hapa tena ,Ni zawadii kwa kuwa anatekeleza majukumu yake vizuriii Sanaa hivyo lazima tumpongeze Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania wote