Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Uko right but Read btn the lines, hajaongelea only about tls, and so called wapinzani
Labda, pengine Tangazo la chadema kwamba 2025 hakuna ucbaguzi mkuu limechangia,,
Nasikia kina pambalu wameenda ulaya kujifunza kareti😁🤭
 
Labda, pengine Tangazo la chadema kwamba 2025 hakuna ucbaguzi mkuu limechangia,,
Nasikia kina pambalu wameenda ulaya kujifunza kareti[emoji16][emoji2960]

Hahaha since si mwanachama au mshabiki wa siasa nchini hilo silifahamu
Ila 2025 kutakuwa na suprises nyingi
 
Hatari Dr. Bashiru kaua zaidi me nilijua anataka kuanza kusema nimekosa mimi nimekosa sirudii.
 
..huyu UWEZO wake ni mdogo.

..pia ana MTIZAMO usiofaa au wrong mindset.

..uongozi ni KUSHAWISHI, sio kulazimisha au kukandamiza.

..anayekupinga maana yake umeshindwa kumshawishi.

NB:

..kupingwa tu anatoa lugha za namna hiyo.

..Je, angekuwa amepigwa marisasi, au amefungwa kwa dhuluma, au amefilisiwa kwasababu ya misimamo yake, angezungumza lugha gani?
 
Halafu Chadema ina poteza muda kukaa na wahuni. Ccm ni wahuni. Mama kasahau kwamba ana maongezi na upinzani, leo kaonyesha ngozi yake halisi.. Dija wahi kuiamini Ccm tangu nizaliwe.
Nilishawatonya upinzani kuhusu matumizi ya lugha,, JPM aliwapenda kweri kweri, na alitaka kushirikiana nao kiuongozi, na baadhi ya concern zao akaanza kuzi address mfano, suala la bob sea, ununuaji ndege etc, 😄
Badala ya kuplay along, wakaanza kumsema tena,, ooh hajasoma, haju english ndo maana hataki kusafiri,, etcmatokeo yake jpm akachoka, akaamua kuwa mkali🙆‍♀️.
Sasa wanatangaza eti hakutakua general election,, so wamejipa mamlaka ya kuamua kuwepo ama kutokuwepo uchaguzi,,, That is hostility
 
Lakini watu hawatakagi kusikia ukweli, so wanapanick,, lakini huo ndo ukweli,, kila mtu anajua TLS ilikuwa inafanya harakati za kisiasa,,

..TLS ilikuwa inafanya siasaa kwasababu vyama vya siasa vilizuiliwa kufanya siasa.

..vyama vya siasa vikibinywa hupelekea wananchi kutafuta njia mbadala za kufanya siasa. Na wakati mwingine wanaweza wasitumie majukwaa, au njia sahihi.
 
Hapana, jk hakubinya vyama vya siasa, TLS walianza kutumika na foreign interests ili kutaka kuleta mabadiliko ya kisiasa ambayo wazungu waliyataka
 
Hapana, jk hakubinya vyama vya siasa, TLS walianza kutumika na foreign interests ili kutaka kuleta mabadiliko ya kisiasa ambayo wazungu waliyataka

..hebu funguka ni mabadiliko gani wazungu walitaka kutuletea kupitia TLS.

..wazungu wakitaka jambo lao wanakwenda moja kwa moja serikalini na kuwabana viongozi wetu.

..Na nyenzo au turufu yao dhidi yetu ni mikopo na misaada ambayo serikali huomba kwa wazungu.
 
Acha uongo, Magufuli yeye ndio alianza fitna kwa kuwazuia Upinzani kufanya mikutano ya hadhara. Tena CHADEMA walitaka kuzunguka kuwashukuru wananchi kwa kuwapa kura jamaa akawahi akawapiga pini. Umesahau alivyomwema ndugai washughulikie ndani wakitoka nje nitawashughulikia. Mwisho wa siku wote wamekosa.
 
hayo mahela wanayowalipa akina Dowans yeye hajawahi kuyasikia, au anajisemea tu bila ya tafakari yoyote juu ya anachokisema!
 
Hapana, jk hakubinya vyama vya siasa, TLS walianza kutumika na foreign interests ili kutaka kuleta mabadiliko ya kisiasa ambayo wazungu waliyataka

Ule ndio ukweli, kuzuia vyama vya upinzani lilikuwa kosa kubwa , ndio maana Leo wakulima wanapigwa mkwara kwa kauli ya Dr Bashiru kwenye Umoja wa mkutano wao.
 
hayo mahela wanayowalipa akina Dowans yeye hajawahi kuyasikia, au anajisemea tu bila ya tafakari yoyote juu ya anachokisema!
Tatizo letu ni lile lile, wabongo wengi wanapenda burebure,, nyerere aliwadekeza sana,, umeme bure, matibabu bure, elimu bure, usafiri bure🙆🏻‍♀️
 
Tangu Siku ya kwanza anaapishwa kuwa rais na kusikia hotuba yake nikajua kuwa Moja ya vitu vitakavyo muangusha ni uanamke wake.....Bado hajaamua kuutenganisha uraisi na uanamke wake......
 
Siyo kweli ile ilikiluwa sample tu. Leo ukileta huo mjadala itakuwa balaa.
Muulize mange kimambi,, mwenyewe alinyooshq mkono,, ukweli ndio huo,, asilimia kubwa ya wananchi hawako tayari kubadili statu quo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…