Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Samia: Anaekosolewa akubali kujikosoa.

Watu wamepigwa na kitu kizito.

IMG-20221124-WA0026.jpg
 
80% ya watanzania walikataa vyama vingi,, endapo japo45 % wakikubali, maana yake hata bungeni ingekuwa 50 kwa 50
Ukiacha ushabiki na ukereketwa tuje kwenye uhalisia, bila ya uchafuzi aliofanya yule dhalim kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu liopita na CCM ikashinda, unafikiri uwiano Bungeni ungekuwaje? Just be honest.
 
Michango yake haiwezi kuegemea vyama, Kwasababu yeye michango yake lazima iwe na kiharufu Cha udini.

Ni kama Mohamed Said, yeye Hana chama ila ana udini.

Watu wake hawajawahi kukosea.
Modeling,
Chama ninacho.

Nilikuwa CUF na sasa nipo ACT WAZALENDO.

Wazee wetu ndiyo waliounda African Association 1929 na 1933 wakaunda Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika ) vyama vyote hivi vikipambana na ukoloni.

TANU iliundwa kitoka TAA kwa hiyo athari ya Uislam haikuweza kuepukwa katika chama hicho.

Kama utaniona nina udini ni historia yenyewe ya TANU na harakati za kupigania uhuru ilivyokuwa.

Wamishionari hawakuipenda TANU na hiyo ndiyo sababu hutakuta maaskofu katika picha na Mwalimu.

Hii ndiyo unaona Nyerere alipokelewa na akaishi na Waislam toka anafika Dar-es-Salaam 1952 hadi uhuru unapatikana 1961.

Baada ya uhuru ndipo mambo yakabadilika na kuanza kusikika msamiati mpya wa udini pale Uislam ulipokuwapo.
 
Kuna mda watanzania tuache unafiki na kuacha ushabiki maandazi leo hii watu wanamponda rais kwa kufwata makundi ya watu mtu anasema tanzania kuna njaa hilihali yeye hajafanya research yoyote na mabwabwa wa kichocholoni wanaungana wanasema hivyo ndipo chuki inapo zaliwa leo ukiuliza wote walichangia humu wajaribu kubshowa fact hawana hila ni sababu tu mtu fulani alisem hivi change ur atitutude.
 
Ameongea fact,, tatizo wengi hawapendi kusikia ukweli mchungu,, huezi kushirikiana na mtu anaekuhujumu, never
Anahujumiwa kwenye nini?

1. Mdororo wa upatikanaji wa huduma za maji na umeme kwa sasa.

2. Bei za bidhaa kupaa isivyo kawaida.

3. Kutokamilika miradi ya maendeleo kwa wakati?

4. Uwajibikaji 0?

5. Blah blah za mbolea.

6. Rushwa sizizomithilika katika chaguza za ndani? yeye akiwa kama mwenyekiti wa chama, amewajibika?

Anahujumiwa kwenye nini na nani ambao hawezi kuwachukulia hatua kisheria yeye kama mkuu wa nchi, instead ameamua kuwachamba hadharani, anahujumiwa nini? au alimaanisha kwenye mbio za urais kuelekea 2025.
 
Samia: Anaekosolewa akubali kujikosoa.

Watu wamepigwa na kitu kizito.

View attachment 2426238
Nadhani amewajibu ma-chawa wa CCM
Kwa hiyo hapo tumeelewa kwamba amewaeleza wamuache kumsumbua au kumdhihaki
Dkt Bashiru Ally Sababu alitumia haki yake ya kikatiba kabisa!

Wenye kumuelewa wamemuelewa,ila wale Chawa wenye uelewa mdogo,wataendelea!

Samia na pia washauri wake,wanajua madhara ya kuendeleza kubaguana ndani ya CCM!

Tayari Wameiona Impact na Madhara ya kumuengua Ndugai.

Na sasa kwa Bashiru,ni lazima watafanya mambo yao kwa tahadhari kubwa.

Haimaanishi kwamba watamuacha,bali watadili nae kwa mninu tofauti na ile waliyoitumia kwa Ndugai.

Yangu ni hayo tu.

Ila Bashiru ameeleweka zaidi,na bado amepiga pin ingine kwenue hiyo link hapo chini.
 
Ukiacha ushabiki na ukereketwa tuje kwenye uhalisia, bila ya uchafuzi aliofanya yule dhalim kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu liopita na CCM ikashinda, unafikiri uwiano Bungeni ungekuwaje? Just be honest .
Leo lema angekuwa mbunge, nina maana cdm wangeongeza viti
 
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake..
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.[emoji848]
 
80% ya watanzania walikataa vyama vingi,, endapo japo45 % wakikubali, maana yake hata bungeni ingekuwa 50 kwa 50
Mimi naona walikosea kuratibu i mean ingekuwa vizuri kama chama kinachoshinda nafasi ya kwaza bas chama kinachofwata kwa kula basi wangepewa nafasi ya umakamu hili kuleta uswa wa kisiasa hiyo ingekuwa siyo kazi ngumu kutekeleza majukumu kilichop vyama vyote vya siasa vinataka dola na haivaja wai pewa nafsi Serikalini kuonyesha ubora wao kwa kuongoza yani kama ingetokea spika anatoka upinzani basi ingekuwa vyepesi kuaminika.
 
Anahujumiwa kwenye nini?

1. Mdororo wa upatikanaji wa huduma za maji na umeme kwa sasa.

2. Bei za bidhaa kupaa isivyo kawaida.

3. Kutokamilika miradi ya maendeleo kwa wakati?

4. Uwajibikaji 0?

5. Blah blah za mbolea.

6. Rushwa sizizomithilika katika chaguza za ndani? yeye akiwa kama mwenyekiti wa chama, amewajibika?

Anahujumiwa kwenye nini na nani ambao hawezi kuwachukulia hatua kisheria yeye kama mkuu wa nchi, instead ameamua kuwachamba hadharani, anahujumiwa nini? au alimaanisha kwenye mbio za urais kuelekea 2025.
1-ukame
²-inflation ni globo issue due to ukraine war
3-miradi ipi ilikwama?
4-uwajibjkaji kama upi yaani?
5-mbolea inasambazwa,
6-rushwa ni globo issue,, hata mbinguni ipo, lazima usali ili mungu asikuchome moto😂
 
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake

Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.

Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.

Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.

Uoga wote huu wa nini ?
 
Huyu mtu hata haelewi kuongoza serikali ni kitu gani.

Anafikiri ni vita.

Hawa watu wanapewa uongozi bila ya kuandaliwa vizuri.

Hawajui political economy theory, hawajui philosophy, hawajui politics.

Wanakuja kutawala by personal animosity.

Ndiyo maana hatuelewi maendeleo ni nini.

Yani achana na lengo la kuendelea, hata lengo la kuelewa kuendelea ni nini hatujalielewa.

Sasa tunategemea hili fupa lililomshinda simba hawa fisi na mbwa wataliweza?
Fisi mbona anaweza kutafuna mifupa kuliko Simba
 
Mimi naona walikosea kuratibu I mean ingekuwa vizuri kama chama kinachoshinda nafasi ya kwaza bas chama kinachofwata kwa kula basi wangepewa nafasi ya umakamu hili kuleta uswa wa kisiasa hiyo ingekuwa siyo kazi ngumu kutekeleza majukumu kilichop vyama vyote vya siasa vinataka dola na haivaja wai pewa nafsi Serikalini kuonyesha ubora wao kwa kuongoza yani kama ingetokea spika anatoka upinzani basi ingekuwa vyepesi kuaminika.
Wafuate mfumo wa lebanon,

Rais akiwa tawala, waziri mkuu awe upinzani,, makamu ni ngumu maana itatokea makamu wa chama cha wachache awe rais, wabunge watampigia kura ya kutokua nae imani,, tutajikuta tunafanya chaguzi kuu kila mwezi kama israel, uchumi hauwezi kuhimili.
 
Wafuate mfumo wa lebanon,
Rais akiwa tawala, waziri mkuu awe upinzani,, makamu ni ngumu maana itatokea makamu wa chama cha wachache awe rais,, wabunge watampigia kura ya kutokua nae imani,, tutajikuta tunafanya chaguzi kuu kila mwezi kama israel, uchumi hauwezi kuhimili.
Itachukua muda kwasababu viongozi wetu wengi ni masikini hawataki kukubali ndio maana wanaenda na upepo that why bajrt bungeni inapitishwa na wakubali hiliali wanaona bajet sio good
 
Back
Top Bottom