Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Chadema kawanyamazisha kwa maridhiano feki sasa anataka kuwanyamazisha wanaharakati kwa kutishia kuwanyima asali
Wananchi anataka kutunyamazisha kwa kusema tusipende vya bure bure, sasa sijui ni vitu gani walikuwa wanatupa bure?
 
Nisahihi ila nchi yetu watu hawakosoi wanatukana



Sizani kama kuna mpinzani aliyewahi kumtukana mtu yeyote.
Labda ulete rejea hapa.
Unafahamu kutukana ni kosa la Jinai ?
Na ukumbuke maneno Kama. Vile kusema fulani ni dhaifu hayo sio matusi. Ni namna ya kumuelezea mtu alivyo.
Sema wabongo elimu za kuungaunga walimu wengine walowafundisha ni failures Kwa hiyo hakuna ile “mind transformation “
Kwanini uone unatukanwa ?
After all hata mtu akitukana yeye ndio atajitoa maana mwenyewe kwa kuonekana kukosa kuwa mstaarabu na muungwana mbele ya jamii yaani wananchi.
 
Back
Top Bottom