Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi anataka kutunyamazisha kwa kusema tusipende vya bure bure, sasa sijui ni vitu gani walikuwa wanatupa bure?Chadema kawanyamazisha kwa maridhiano feki sasa anataka kuwanyamazisha wanaharakati kwa kutishia kuwanyima asali
Nisahihi ila nchi yetu watu hawakosoi wanatukana