Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Day to day work of governingKushirikiana kufanyaje?
Thubutu labda ashinde udiwani act wazalendo.Mama yuko sahihi. Hata kwenye maisha ya kawaida tunawashirikisha mambo yetu wale wanaoonyesha sapoti. 2025 Mama atashinda kwa kishindo. Ushindi wa kimbunga.
Katiba mpya inakuja sawa, hiyo ha kupunguza madaraka ya Rais ili mpate kufanya choko choko kwa uhuru zaidi, sahau🤗Inatungwa hapa hapa tu taka usitake.
What's your take from this message?What is your take from this message?Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha,
TLS wamesema wanataka kushirikiana naye kwenye day to day work of governing???Day to day work of governing
Lakini watu hawatakagi kusikia ukweli, so wanapanick,, lakini huo ndo ukweli,, kila mtu anajua TLS ilikuwa inafanya harakati za kisiasa,,Hakuna kitu kipya kwenye matamshi yake, hakuna kiongozi anayeteua watu wasiofuata falsafa zake...
Tanganyika lawa society ni chama Cha siasa!?Sasa si Bora turudi mfumo wa chama kimoja.
Mhe. Rais kazungumza vitu viwili muhimu: 1. Ameendelea kudhihirisha yuko tayari kushauriwa au hata kupokea challenge za kujenga. Hivyo hakatai kukosolewa kwa nia ya kujenga (constructive criticism).Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Huelewi maendeleo ni nini wewe na Nani!?Huyu mtu hata haelewi kuongoza serikali ni kitu gani.
Anafikiri ni vita.
Hawa watu wanapewa uongozi bila ya kuandaliwa vizuri.
Hawajui political economy theory, hawajui philosophy, hawajui politics.
Wanakuja kutawala by personal animosity.
Ndiyo maana hatuelewi maendeleo ni nini.
Yani achana na lengo la kuendelea, hata lengo la kuelewa kuendelea ni nini hatujalielewa.
Sasa tunategemea hili fupa lililomshinda simba hawa fisi na mbwa wataliweza?
Sehemu muhimu ni hapo kwenye madaraka ya rais na ndio tunapopataka sie hakuna haja ya katiba mpya kama ulimbikizwaji wa madaraka hautazingatiwa kwenye hiyo mpya.Katiba mpya inakuja sawa, hiyo ha kupunguza madaraka ya Rais ili mpate kufanya choko choko kwa uhuru zaidi, sahau🤗
Tozo nayo atawashirikisha wale wanaompa sapoti tu?Mama yuko sahihi. Hata kwenye maisha ya kawaida tunawashirikisha mambo yetu wale wanaoonyesha sapoti. 2025 Mama atashinda kwa kishindo. Ushindi wa kimbunga.
Sawa,, shida hamna watu,, labda katiba ipitishwe Washington sio Tanzania, ukweli mchungu huoSehemu muhimu ni hapo kwenye madaraka ya rais na ndio tunapopataka sie hakuna haja ya katiba mpya kama ulimbikizwaji wa madaraka hautazingatiwa kwenye hiyo mpya.