Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Swala la kutokuvunjika kwa mfumo sio kweli, kama ulitengenezwa na watu hao hao watu wanaweza kuuvunja, labda uniambie hawajaamua, endapo wenye dhamana wakiaamua. Hivyo sioni sababu ya kumlaumu Nyerere kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu, sasa kwa kuanzia inabidi kupata katiba mpya. Itakayo mpunguzia madaraka rais na kumuwajibisha tofauti na ilivyo sasa.
Wenye dhamana wananufaika na huu mfumo mbovu.. Hawawezi kuuvunja.