Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Swala la kutokuvunjika kwa mfumo sio kweli, kama ulitengenezwa na watu hao hao watu wanaweza kuuvunja, labda uniambie hawajaamua, endapo wenye dhamana wakiaamua. Hivyo sioni sababu ya kumlaumu Nyerere kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu, sasa kwa kuanzia inabidi kupata katiba mpya. Itakayo mpunguzia madaraka rais na kumuwajibisha tofauti na ilivyo sasa.

Wenye dhamana wananufaika na huu mfumo mbovu.. Hawawezi kuuvunja.
 
Swala la kutokuvunjika kwa mfumo sio kweli, kama ulitengenezwa na watu hao hao watu wanaweza kuuvunja, labda uniambie hawajaamua, endapo wenye dhamana wakiaamua. Hivyo sioni sababu ya kumlaumu Nyerere kwa jambo ambalo liko ndani ya uwezo wetu, sasa kwa kuanzia inabidi kupata katiba mpya. Itakayo mpunguzia madaraka rais na kumuwajibisha tofauti na ilivyo sasa.
Hiyo katiba labda itungwe America
 
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake

Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.

Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.

Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.

Ndugu zangu Tumepigwaa kichwani, watawala hawa!!
 
Hii kauli angelikuwa ameitoa magufuli mpaka mda huu akinachadema lisu , Maria fatuma pangekuwa hapashikiki

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyu naye ataonesha ujuzi gani alio nao? Haba ujuzi wowote!
 
Mfumo uliojengwa na Nyerere unawanufaisha vigogo. Hauvunjiki.
Kwahiyo nchi kukosa umeme na maji ni kwasababu ya mfumo wa Nyerere?
Watoto wanamaliza shule hawajui kuandika wala kuhesabu vizuri,ni kwa sababu ya mfumo wa Nyerere.
Shule hazina madarasa ya kutosha,maabara,vitabu,walimu,viti vya kukalia nk yote hii ni kwa sababu ya mfumo wa Nyerere..
Mnanunua magari ya anasa na kifahari badala ya madawa na vifaa tiba hospitalini..hii nayo ni sababu ya Nyerere..
Hamtaki kukamilisha miradi ya kimkakati pamoja na kuzidisha kukopa na tozo za kila aina..hii nayo ni mfumo wa Nyerere..
Semeni tu mmeshindwa kuongoza hii nchi.
 
Sisi ndio uelewa wetu mdogo Rais anaongelea vyama vya kitaalamu hajaongelea vyama vya siasa kama unataka siasa unaingia katika siasa sio kujificha kwenye vyama vya kitaaluma nakufanya harakati. Adui yangu nimshirikishe kwa lipi? aje aharibu apinge kama mpinzani sio kujifanya chama cha wanasheria kama kina Lissu walivyoingia mle kuleta siasa.
Tukiachia wanasheria kuwa politicized, kinachofuata ni madaktari, kisha waalimu, manesi, etc.
Nchi itavurugika, kila mtu atakuwa na mapembe
 
Ms
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake

Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.

Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.

Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.

Mama ameongea neno moja gumu kwa wanaomnanga
 
Back
Top Bottom