Sizani kama kuna mpinzani aliyewahi kumtukana mtu yeyote.
Labda ulete rejea hapa.
Unafahamu kutukana ni kosa la Jinai ?
Na ukumbuke maneno Kama. Vile kusema fulani ni dhaifu hayo sio matusi. Ni namna ya kumuelezea mtu alivyo.
Sema wabongo elimu za kuungaunga walimu wengine walowafundisha ni failures Kwa hiyo hakuna ile “mind transformation “
Kwanini uone unatukanwa ?
After all hata mtu akitukana yeye ndio atajitoa maana mwenyewe kwa kuonekana kukosa kuwa mstaarabu na muungwana mbele ya jamii yaani wananchi.