Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar


Nadhani mama anamaanishabya kwamba yeye atawasikiliza tu wale wanamsikiliza yeye na kumsupport yeye. Kama unampinga, hatakushirikisha ama kukusikiliza.
 
Huyu mtu hata haelewi kuongoza serikali ni kitu gani.

Anafikiri ni vita.

Hawa watu wanapewa uongozi bila ya kuandaliwa vizuri.

Hawajui political economy theory, hawajui philosophy, hawajui politics.

Wanakuja kutawala by personal animosity.

Ndiyo maana hatuelewi maendeleo ni nini.

Yani achana na lengo la kuendelea, hata lengo la kuelewa kuendelea ni nini hatujalielewa.

Sasa tunategemea hili fupa lililomshinda fisi hawa mbwa koko wataliweza?
 
Yes , ukimwaga mbonga , namwaga ugali!
 
Duu! Yaani vyama vya upinzani visupport hata kwa mambo ya hovyo serikali! Sasa kuna haja gani ya kuwa na upinzani? Vifuteni tu mbaki na CCM yenu.
Hao akina Chadema wanajiita tu hilo jina la " Wapinzani"

Nitajie nchi moja tu duniani ambayo Vyama vya Upinzani viliasisiwa na chama tawala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…