Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata mumeo piaKatili mama yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mumeo piaKatili mama yako.
Maisha yake mengi ameishi akiwa msambaza chai tu kwenye maofisi ya asasi za kisiasa (secretary& ukarani), huku kwenye uongozi kaibukia tu kwa ngekewa.Mwanamke gan msomi???
Angekua msomi, asingezungusha Kidato Cha nne.
Infact , ana Elimu ya kuunga unga sanaaa,
Na ukweli nikwamba, kwake yeye, Kuunga unga kumtokana na akili kua kiduchu.
Huwa hawana shule kabisa.
Wale muungano ndo unawapendelea.Huwa hawana shule kabisa.
@zitt zitto juniorHarafu kuna tahira, mmoja mwenye mavuzi ya ulimi. anajitokeza kwenye vyombo vya habari siku hizi kuna democrasia, pumbavu waheed!
Anazingua sanaOya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
Mbwa koko kibogoyo basi.Fisi mbona anaweza kutafuna mifupa kuliko Simba
Ukiwa na katiba ya ovyo, halafu ukashindwa kuibadili, tatizo ni wewe hapo.Tuna katiba ya hovyo sana
Tutafika hatua ambayo mtasema ukatili wake sio mbaya kama ulivyokuwa ukatili wa yule aliyepita, nasema hivyo kwa sababu jinsi ambavyo watu walivyokuwa wanamchukulia na kumzungumzia Samia huko mwanzoni kabisa ni tofauti na sasa. Mwanzo tulidhani Samia yeye atakuwa ni mvumilivu kwenye kukosolewa na hata yeye alijisifu hivyo ila kwa mifano ya Ndugai na Bashiru hali imeonesha kuwa hana hiyo ngozi ngumu ila mkatetea kwamba bora yeye hateki wala kuuwa, na hili la sasa bado tena mnatetea kwamba bora yeye amesema ukweli kuliko angefanya ukatatili wa chini kwa chini.Kawa mkweli kwa hao anaozungumza nao kuliko kufanya ukatili wa chini chini.
Sasa hii ni sifa? Au upumbavu na ukandamizaji kwa vyama vingine?Kaisome vizuri sheria ya vyama vya Siasa
Ni mfumo wa Chama Kimoja ulioboreshwa ndio sababu CCM haikusajiliwa popote ni Chama Dola!
Ni kama vile tunazama katika kujadili haiba za viongozi ambao ni binadamu kama mimi na wewe. Wapo wanaosema tubadili mfumo, nadhani tufike mahali twende hatua moja zaidi kwa mustakabali wa nchi yetu.Tutafika hatua ambayo mtasema ukatili wake sio mbaya kama ulivyokuwa ukatili wa yule aliyepita, nasema hivyo kwa sababu jinsi ambavyo watu walivyokuwa wanamchukulia na kumzungumzia Samia huko mwanzoni kabisa ni tofauti na sasa. Mwanzo tulidhani Samia yeye atakuwa ni mvumilivu kwenye kukosolewa na hata yeye alijisifu hivyo ila kwa mifano ya Ndugai na Bashiru hali imeonesha kuwa hana hiyo ngozi ngumu ila mkatetea kwamba bora yeye hateki wala kuuwa, na hili la sasa bado tena mnatetea kwamba bora yeye amesema ukweli kuliko angefanya ukatatili wa chini kwa chini.
Ni kama vile tunazama katika kujadili haiba za viongozi ambao ni binadamu kama mimi na wewe. Wapo wanaosema tubadili mfumo, nadhani tufike mahali twende hatua moja zaidi kwa mustakabali wa nchi yetu.
Kasema ukikaa ki uadui..sio kila anaepinga adui...sio kila upinzani ni uadui ....adui ni Yule anaepinga kila kitu...mtu analalamika mgao ...akiambiwa tumenunua mitambo ya gesi kuondoa mgao hataki pia ..anataka tusubiri bwawa la Nyerere...sasa watu Aina hiyo ni wazalendo au wanafiki
Ulimchukia labda wewe mbona mimi nilimpenda tu.Hoja ilikuwa nini mpaka kusema hayo!?
Halafu kazi mojawapo ya rais ni kuleta utengamano katika nchi hata kama unapata upinzani kiasi gani kauli za utata kama hizi angeshauriwa aziepuke maana hizo ndiyo zilizomfanya mwendazake kuchukiwa
The President Woman is right. TLS was a den of thieves. The TLS president woman (small p small w) was one of the legal advisers to mining companies that looted our minerals. She inherited it from an even bigger crook with nothing but harsh abusive words. she (small s) came from a privileged background, schooled overseas and generally overpampered, she could not see the immense efforts being made ber Her (big H) for the vast majority.This woman doesnt get it!The law society and the community at large,I'd not here to please her and her government!,we are here to poke holes in every thing they do,we are the watch dogs,we don't work for her!!she works for us,wananchi!!our task is to bring all the dirt up!to shine light on their deeds!
Her government is full of thieves!
Law society sio uvccm,au uwt,au polisi,hii society haihitaji fsdhila za serikali,ipo pale kukosoa uovu mwingi wa serikali,sasa mama anataka kila taasisi iwe praise and worship tu.
Ukikosolewa, badala ya kujibu hoja,unatumia sheria za kiimla kuvunja muguu wakosoaji,,,!!,what a tragedy!!
We heard from the horse mouth, ccm regime is not willing to receive critisim,!they take clitisim as animosity!!and they are willing to crush any dissent. Hawa jamaa hii nchi wanaiona kama private company,
Nakumbuka wakati Samia akiwa ni makamu wa rais aliwahi kutamka kwamba rais hakosei, ina maana hivyo ndivyo anavyoamini toka hajawa rais...Raisi amekosea kutoa kauli ile.
..Kauli yake inawapa jina baya wanaharakati.
..Pia inatoa "green light " kwa sheria zetu na mahakama zetu kutumika dhidi ya wanaharakati.
..Tanzania tuna utamaduni kwamba Raisi hakosei. Au kauli ya Raisi ni maagizo au " sheria. "
..Mara nyingi tumeathirika vibaya kwasababu ya kulazimisha kutekeleza, au kuhalalisha, kauli au matamko ya Raisi ambayo yana makosa au ni kinyume cha sheria.
..Fikiria nguvu iliyotumika kuhalalisha kauli yenye makosa ya kupiga marufuku mikutano ya hadhara.
..Tumeumiza watu wangapi? Watumishi wangapi wa umma wamechafuka kimaadili na kitaaluma ktk kutekeleza agizo lile?
..Kauli ya Raisi Ssh ikifanyiwa kazi italeta athari mbaya kwa jamii.
Chadema kawanyamazisha kwa maridhiano feki sasa anataka kuwanyamazisha wanaharakati kwa kutishia kuwanyima asaliHaya sasa
Sisi Chadema tunafanyaje sasa!