Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe unaamini Tanzania ni tajiri?Alafu watu wanadai Tanzania ni masikini!!!!!!!!!
Ni maskini wa vipaji
Ni maskini wa uaminifu
Ni maskini wa ubunifu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaamini Tanzania ni tajiri?Alafu watu wanadai Tanzania ni masikini!!!!!!!!!
Ndugu yangu, Tz mambo mambo ya msingi ya vipaumbele ni mengi, manake hata vitu kama ' matundu ya vyoo, shule zetu nyingi ni changamoto, Sasa bado ni shida. Hivyo pesa zingine zingeleta tija zaidi kwenye maeneo kama hayo, badala ya kuzipoteza kwenye timu ambayo ni 'mbovu'.... Mie napita ....Ungekuwa we ndo prezida fedha ungezielekeza WAPI?
Ni maskini wa vipaji - hii imesababishwa na vitu kadhaa:-Wewe unaamini Tanzania ni tajiri?
Ni maskini wa vipaji
Ni maskini wa uaminifu
Ni maskini wa ubunifu
ongeza, Wazee wasojiweza- kiucbumi, kiafya, kimazingira. nakuombea uwe Rais uje na Katiba mpya1. Mahospitalini
2. Mashuleni
3. Vijijini
4. Miundombinu
5. Elimu Vyuo Vikuu
6. Kulipia Bima Watoto wa Tanzania
7. Kuwakopesha Watanzania kwa Riba ndogo ili Wajiinue Kimaisha
Niombee Siku moja nije kuwa Rais TZ.