MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Dafu juu ya shingo!Mama kapiga ngumi moja tu,Ufipa chaliii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dafu juu ya shingo!Mama kapiga ngumi moja tu,Ufipa chaliii.
Ndio waonakuweka mjini mpaka sasa ujue!Tunajua wanaopigia kelele Katiba mpya ni akina nani:makarai ya zege ya mafisadi.Wanadhani kupitia hiyo watapata nafasi ya kupenyeza agenda zao za kipuuzi.Sioni what we cannot do with the 1977 constitution as far as bringing development to our people is concerned and protecting our hard earned peace.Kinachotakiwa ni utashi wa kisiasa.Hongera Rais Samia kwa msimamo wako.
Nimemsikiliza hotuba yake tone yake siyo ya kukataa katiba mpyaHalafu cha ajabu huyu mama alikuwa makamu mwenyekiti kwenye bunge la katiba, maana yake ni kwamba ama kipindi kile alikuwa haamini anachokifanya kuwa ni kwa maslahi ya nchi au sasa keshalewa madaraka kwa hiyo anafikiri kinachoweza kuendelea kumsaidia kumpa stimu zaidi ya ulevi huo ni kuendelea na katiba hii mbovu!
Huyu mama kafeli mapema sana kukataa katiba mpya, kiufupi hakuna hope yyote ya maana chini ya ungozi wake kama ataendelea kukaa kitu ambacho ni obvious!
Wataniwekaje mjini na mimi sikai mjini?Ndio waonakuweka mjini mpaka sasa ujue!
Tone yake inaniambia kuna katiba mpya kichwani mwake aiseeContrary na wengi wanavyofikiri katiba inakuja soon, kilichotokea ni slip of the tongue nini kipo kichwani kwake.
Jk mkamwita dhaifuAliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Nyie watu hamna akili kabisa!Matumaini yetu yameyeyuka!
Hakuna future yeyote ya maana chini ya huyu mama!
JK huyuhuyu alichanachana Rasimu ya Waryoba au unamaanisha Juliaus Kimaro?Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Wana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza . Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu .?
Haki huinua taifa.
Mbona kama hamjamsikiliza mama vizuri, Alivyosema sio mnavyotaka ionekane. Hata hivyo katiba mpya hatutapewa kama sahani ya matunda, Katiba mpya ni yakudai na ipo siku tutapewa. Katiba mpya ni ya muhimu, hata hao mawaziri wanaoinamisha inamisha vichwa wakisujudu hapo kama wapo kwenye nyumba za ibada kungekuwa na katiba mpya inayoainisha utu wa mtanzania yeyote bila kujali cheo wasingefanya hivyo.
Tumpe mama muda, tumsupport, sio rahisi ameingia jana leo aanze na katiba.
Tunajua wanaopigia kelele Katiba mpya ni akina nani:makarai ya zege ya mafisadi.Wanadhani kupitia hiyo watapata nafasi ya kupenyeza agenda zao za kipuuzi.Sioni what we cannot do with the 1977 constitution as far as bringing development to our people is concerned and protecting our hard earned peace.Kinachotakiwa ni utashi wa kisiasa.Hongera Rais Samia kwa msimamo wako.
Limewashuka maana mlitegemea mtamuendesha mama, CCM ina misingi yake na ni CCM iliyomuweka mama madarakaniAliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Lips zao nzuriHiv ni Kwanini Muamal Gaddaf alikuwa analindwa na wanawake?samahani lakini ni nje ya mada.ninatamani niijue sababu
Mazuzu ya Ukawa yaliacha kupambana mpaka mwisho yakakimbia vitani.. Matokeo yake ndio haya sasa..Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Na wewe utakuwa wapi?Na hyo ndo MSAHAU.
Kwa taarifa yako niliufuatilia huo mchakato kuanzia mwanzo mpaka mwisho! Na hata copy ya Rasimu yenyewe ya Katiba aliyokabidhiwa JK kipindi hicho, nilikuwa nayo. Kwa hiyo usiishi kwa kukariri.Ukiulizwa unataka nini ktk katiba mpya hujui..
Na wewe utakuwa wapi?
Basi tuungane tuongeze pressure nina hakika hata Wazanzibari wengi wataunga mkono.Mimi nilishajiandaa kisaikolojia tangu marehemu alipochaguliwa kuwa rais.
Nilijua Tu HAMNA KITU.binafsi sikuwa namkubali.hata Samia pia niseme ukweli bado hajanishawishi ila tumpe muda.