Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

Ni lini umeona wanachaguliwa marais smart Tz! yote imekuwa mijizi tu na vilaza wakuu! SSH ni janga la taifa! Kilaza mkuu
Licha ya hivyo lakini yule alitwaliwa kabla ya siku yake alikuwa hafai. Ndo Mungu akamleta mama kuokoa jahazi.
 
ukitoka PhD unaenda wapi tena? Kabla yatukute ya yule mwenzetu
 
Unajitambua kweli wewe?
Eti awamu iliyopita ilivuruga sn mustakbl wa nchi.
Ndio najitambua. Mustakabali wa nchi ulivurugwa sana awamu iliyopita kiasi ya kwamba ilibidi Mungu mwenyewe aingilie kati and someone had to be stopped ASAP kwa maslahi mapana ya taifa. Angalia Mambo ya kutisha na ya ajabu kina sabaya makonda. Watu kuuwawa hovyohovyo uporaji wa pesa na mali. Maisha ya mtanzania hayakuthaminiwa kabisa.
 

Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi……,Kwa maelezo haya UDOM wamesikia kilio chake. Watamtunuku PhD soon.​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…