Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

Hapo wachumia tumbo wameshasikia wanajiandaa kumtunuku uyo chui jike PhD ya mchongo

Wanasiasa wanapenda PhD ila kusoma na ku-practise walichojifunza hawawezi
 
Huyu kilaza aliyebumba toka sekondari aende uzamivu upi? Kule CED alikuwa kilaza wa nguvu. Lakini anyway atapewa na yale magumashi yalimpa jafo!
Hii siyo lugha ya mtu anayejidai kaelimika. Unamzungumzia Rais na Amiri Jeshi Mkuu# Knowledge brings wisdom.
 
Sawa bwana ila kuna jambo la kujifunza hapo! Kutoka ukalani wa masijala hadi Urais wa nchi , hili sio jambo dogo!
Ukiwa jinsia ya Ke na mashallah umejaliwa "reception" na ukawa mkazi wa Afrika na hasa Tanzania una uwezekano 99.99% wa kupanda ngazi haraka. kuna awamu wakuu wa Wilaya na viti maalum zilikuwa pisi Kali 89%
 
Hii siyo lugha ya mtu anayejidai kaelimika. Unamzungumzia Rais na Amiri Jeshi Mkuu# Knowledge brings wisdom.
Uvumilivu na matumaini vikifika 0.009% hata Dalai Lama anarusha tusi kama mpiga debe! Tumechoka Sana na hao wenye nchi!
 
Nimewahi kuona clip moja ya Amiri jeshi mkuu wetu wa sasa ambayo ni neno kwa neno na haya aliyoandika mleta mada...inaonekana imemkaa vizuri kichwani aka ameimeza vilivyo!
 
Ndio maana suala la mawaziri kupata Ph.D kwa kasi limeleta mjadala mkubwa hivi karibuni.

Hii yote inatokana na kutilia mkazo vyeti [ MAKARATASI] badala ya utendaji wa kazi wa watu!! RAIS Samia afanye kazi yake badala ya kufikiria mambo ya Ph.D ama sivyo atajikuta kazi ya uongozi inamshinda ya kupata CHETI cha magumashi ambacho hakitamuongezea heshima!! Mkapa hakupata Ph.D ya magumashi[UDOM] bali Kutokana na umahiri wake wa kazi yake alitunukiwa shahada za heshima ambazo hazikuwa na utata! Mama asishushuliwe na makaratasi, heshima yake itapimwa kwa utendaji wake!!!!
 
Ndio najitambua. Mustakabali wa nchi ulivurugwa sana awamu iliyopita kiasi ya kwamba ilibidi Mungu mwenyewe aingilie kati and someone had to be stopped ASAP kwa maslahi mapana ya taifa. Angalia Mambo ya kutisha na ya ajabu kina sabaya makonda. Watu kuuwawa hovyohovyo uporaji wa pesa na mali. Maisha ya mtanzania hayakuthaminiwa kabisa.
Mbowe amefungwa kipindi gani kwa kesi ya ugaidi!??

Wauaji mfano Mtwara yanatokea kipindi gani!??
 
PhD za hapa bongolala zimekuwa kama ngoma ya mdundiko, bora kukomaa kusoma kwenye reputable universities huko majuu......vinginevyo utakuwa huna tofauti na Dr. msukuma kwenye viwango vyako vya uelewa.
Hata za majuu nazo ni tatizo! Umesahau ya msema kweli aliionyesha viongozi wenye degree feki za nje miaka hiyo!
 
Hapo wachumia tumbo wameshasikia wanajiandaa kumtunuku uyo chui jike PhD ya mchongo

Wanasiasa wanapenda PhD ila kusoma na ku-practise walichojifunza hawawezi
Hapo ndo linakuja swali- Elimu inayotolewa vyuoni ina akisi mazingira ya utekelezaji wake? Ina faida kwa jamii?
 
Back
Top Bottom