Rais Samia: Nimeshindwa kufanya PhD kutokana na majukumu kuwa mengi

Huyu kilaza aliyebumba toka sekondari aende uzamivu upi? Kule CED alikuwa kilaza wa nguvu. Lakini anyway atapewa na yale magumashi yalimpa jafo!
Hata Magufuli alikuwa kilaza ,alifeli mtihani wa kidato cha sita ,akakosa credit za kwenda Chuo kikuu,akaenda Ualimu (Mkwawa )
 
Wewe nimekuja kujuwa unachuki Sana mama. Acha hizo chuki kwa mama na rais wetu. Sasa hivi nikulisogeza gurudumu la maendeleo mbele kwani awamu iliyopita ilivuruga sana mustakabali wa nchi
Nonsense!!!!!!!
 
Jaman!!, hakutakiwa kusema suala la kufanya kazi masijala.
Mbona nahisi vibaya hivi !!

Hivi Marais wa Africa hua hawapimi level za IQ?

Chama langu kuweni serious, amalizie tu.
Inatosha.
 
Huyu kilaza aliyebumba toka sekondari aende uzamivu upi? Kule CED alikuwa kilaza wa nguvu. Lakini anyway atapewa na yale magumashi yalimpa jafo!
Umenikumbusha mbali sana,
Aina za uongozi mkuu,
1)kuzaliwa,2)kusoma darasani.
Tulikuwa na viongozi wazuri sana hapo zamani za kale ambapo duniani hakukuwa na kitu kinaitwa shule.

Shule isikuzubaishe ukafikiri eti profesa ataongoza vizuri kuliko mwenye kadegree ka pass,
Shule inapahala pake ila kwenye mambo ya uongozi isikupumbaze chief.

Engineering kwenye ma piramidi ya misri yaliojengwa hapo kale inashangaza dunia.

Soma usomavyo ila usidharau wasiokwenda darasani japo shule kwa dunia ya sasa itabaki kuwa na umuhimu wake.
 
Jaman!!, hakutakiwa kusema suala la kufanya kazi masijala.
Mbona nahisi vibaya hivi !!

Hivi Marais wa Africa hua hawapimi level za IQ?

Chama langu kuweni serious, amalizie tu.
Inatosha.
Wanaofanya kazi masijala siyo binadamu? Huoni Mhe. Rais ameonyesha alikotoka kimaisha kwamba aliwahi kufanya kazi za kawaida? Putin aliwahi kuwa dereva teksi. #Kazi ni kipimo cha utu...heshimu kila kazi...heshimu utu.
 
Hata za majuu nazo ni tatizo! Umesahau ya msema kweli aliionyesha viongozi wenye degree feki za nje miaka hiyo!
Hivyo ni vyuo vya uchochoroni mkuu, nasema reputable universities ambazo zipo kwenye world ranking si chini ya top 20.........
 
Mama hata akiishia njiani asimalize PhD hiyo, asipate shida bado haimpunguzii kitu chochote ukizingatia kuwa kwa sasa anafanya PhD nyingine ambayo ni SPECIAL kabisa, kwa sababu huwa inatolewa kila baada ya takribani miaka mitano, kwa watu wasiozidi 200 dunia nzima; ambayo ina idadi ya watu takribani BILLION saba (7); na kwa hapa kwetu Tanzania, inatolewa kwa mtu mmoja tu kila baada ya miaka mitano (5) na wanaotunuku PhD hiyo ni watu wasiopungua MILLION 60!

MUNGU AENDE NA MAMA KWA KISHINDO KIKUU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…