Mwanamke hawezi kuwa Khalifa. Period!Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.
Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.
Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.
Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.
Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea, kilichobaki ni utekelezaji tu hakuna mjadala!!Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.
Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.
Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Mwenzake alikuwa anatumia analogue zinazo reflect character yake, na akipa Mkwara huo speech unaendana na tonne.Huwa haelewi hata mifano yake. Mfano aliposema anajigeuza CHURA KIZIWI. hebu niambie Logic yake ni nini? Yaani anamuiga maneno Magufuli kujiita Jiwe n.k
Makamanda walivyoshangilia inaonekana na wao walikuwa washachoshwa na udekezaji wake.Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea, kilichobaki ni utekelezaji tu hakuna mjadala!!
Acha uongo, Deborah hakuwahi kuwa mwamuzi alikuwa ni nabii, hakuna sehemu kwenye Biblia inasema Deborah alikuwa mwamuzi. Someni vizuri Biblia zenu. Labda iwe haujui nini maana ya nabiiDEBORAH ni mwamuzi pekee wa kike.. aliliongoza kundi
Dada unawashwa?Asiwachekee awashughulikie vibaraka wote tuone waliowatuma kama watawasaidia
.Kwa mambo yanatofanyika ya hovyo nchini.wananchi tuko tayari kuungana na chadema kufanya maandamano
Dawa imemuingiaChura kaanza kusikia sasa maana alikuwa hasikii
>>TUWE MAKINI SANA! TUSICHEKE NA KIMA!,
mabadiliko hayaji Kwa akili kama hiziNawashauri CHADEMA waachane na 'samia must go' hiyo septemba 23 maana watatembezewa kichapo 'heavy' mno
Clips na ushahidi wote anazo, Rais hawezi ongea hewani sema yeye mstaarabu yajaagiza zitoke live tungepata mshangao,kumbuka jpm alivyozitoa hadharani za kina kinana ,Nape na january nani angeamini?(tena alitoa kidogo tu) angetoa kila kitu si ni uhaini.intelijensia haiwezi kulala.tatizo tunaiga mambo ya kwingineko katika kusaka madaraka na mara nyingi mataifa ya huko ndio yanapenda kussuport kwa ajenda zao, ndio maana jpm alizibana hizi NGOs zisizoeleweka ,ndio zinatumika kuingiza pesa chafu.Kapigwa fix
Biden ana matatizo mengi kuliko Samia. Ana watu zaidi ya milioni moja wanalala kando ya maduka kwenye maboksi.
Anao milioni wengine wanaotema maudenda mchana wa saa saba kwenye vituo vya mabasi baada ya kutumia madawa ya kulevya kupitiliza.
Acha ujingaViongozi wa Chadema wanaielewa maana halisi ya "Samia must go"?
Wanaelewa maana yake ni kumuondoa Samia?
Je wanataka kumuondoa Samia wap!?
Kama ni kumuondoa madarakani, mlifikiri sawasawa madhara yake?
Ni nani hutunga 'slogans' huko Chadem@? Na je viongozi wa Chadema huchuja slogan hizo kabla ya kuzileta kwa wananchi?
Samia must go siyo slogan ya kisiasa, tafakari.