Kule kwetu kuna watu wanaitwa " mahulukutabu".
Wao wana hulka ya kupenda tabu.
Penye amani wanaleta tabu.
Sheria za mahulukutabu nazo pia zipo.
Hapa nadhani kuhusu hii political drama inayoendelea, maybe we should be asking about the sexual orientation of the key players.
Not asking out loud.
Isipokuwa we must try to understand ,to decypher what is happening.
NCCR Mageuzi wakati ule,long ago Mbatia alitangaza ,"Tutakuja na Operation OMO,yaani,
Operation Mwinyi out,.
Operation Malecela out
Operation Mrema out.
Hawa watu hawakuambiwa kwamba wana nia mbaya.
Hizi ni blah blah tu za Wapinzani.
Lakini leo hii mkutano wa Wapinzani umedukuliwa wamesema "Samia must go", imekuwa tabu.
Balozi ameagizwa na Serikali yake kusema maneno fulani,wewe unadhani it is all a joke.
Yule Balozi aliyepita aliambiwa na Chairman wa Senate Foreign Relations Commettee kwamba," Nenda kule Tanzania, Wapinzani wanateswa."
Ndio unaona wakati ule akamtorosha Tundu Lissu kwa kushirikiana na Balozi wa Uherumani.
Na wewe unataka uwaulize,"Why are you shooting at Donald Trump all the time?"
Mtume Muhammad alisema,"Unapogombana na mwenzako,acha nafasi ili suluhu iweze kupatikana. "