Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Mwanamke hawezi kuwa Khalifa. Period!
 
Binafsi sijui Watanzania tunataka nini?

Alipokuwa Kikwete ooh! Rais mpole na dhaifu. Kaja Magufuli ooh! mkali na dikteta, huyu mama ooh! hana uwezo, mara ooh! siyo Mtanganyika. Ubinadamu ni kazi!

My take, tunachokitafuta Watanzania hivi karibuni tutakipata. Isije ikaja kuwa KILIO CHA SAMAKI. Watanzania wenzangu mtu huwa hathamini kitu alicho nacho hadi kitu hicho kimtoke.

Tujifunze toka mataifa ya wenzetu, ni mifano tosha kwa watu wenye akili.
 
Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
 
Kule kwetu kuna watu wanaitwa " mahulukutabu".
Wao wana hulka ya kupenda tabu.
Penye amani wanaleta tabu.
Sheria za mahulukutabu nazo pia zipo.

Hapa nadhani kuhusu hii political drama inayoendelea, maybe we should be asking about the sexual orientation of the key players.
Not asking out loud.
Isipokuwa we must try to understand ,to decypher what is happening.

NCCR Mageuzi wakati ule,long ago Mbatia alitangaza ,"Tutakuja na Operation OMO,yaani,
Operation Mwinyi out,.
Operation Malecela out
Operation Mrema out.
Hawa watu hawakuambiwa kwamba wana nia mbaya.
Hizi ni blah blah tu za Wapinzani.

Lakini leo hii mkutano wa Wapinzani umedukuliwa wamesema "Samia must go", imekuwa tabu.

Balozi ameagizwa na Serikali yake kusema maneno fulani,wewe unadhani it is all a joke.

Yule Balozi aliyepita aliambiwa na Chairman wa Senate Foreign Relations Commettee kwamba," Nenda kule Tanzania, Wapinzani wanateswa."
Ndio unaona wakati ule akamtorosha Tundu Lissu kwa kushirikiana na Balozi wa Uherumani.

Na wewe unataka uwaulize,"Why are you shooting at Donald Trump all the time?"

Mtume Muhammad alisema,"Unapogombana na mwenzako,acha nafasi ili suluhu iweze kupatikana. "
 
Nikikumbuka alivyosifiwa enzi kaingia madarakani na leo ndio anaonekana Rais kituko..naamini ule msemo kuwa Muda utaongea na kweli muda umeongea.
 
Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba mbovu kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
Amiri Jeshi Mkuu kesha ongea, kilichobaki ni utekelezaji tu hakuna mjadala!!
 
Huwa haelewi hata mifano yake. Mfano aliposema anajigeuza CHURA KIZIWI. hebu niambie Logic yake ni nini? Yaani anamuiga maneno Magufuli kujiita Jiwe n.k
Mwenzake alikuwa anatumia analogue zinazo reflect character yake, na akipa Mkwara huo speech unaendana na tonne.

Uongozi ni science akatafute speech za wanawake wenzake walioongoza nchi korofi kama ‘Angela Merkel’ na ‘Magreth Thatcher’ pale ambapo wanataka somo lieleweke kama wana rembua. Shida ni washauri wake ni team ya watu wa hovyo.

Akiweka na yake ndio anajisemea tu na mifano yake. Ambayo dunia inamsikiziliza na kuona uwezo wake.

Huyu hao wataalamu huko Ikulu wanatakiwa kumwambia don’t go off the script.
 
Huyu Bibi inaonekana mwisho wake hautakuwa mzuri, badala ya kukemea na kuzuia mauaji na utekaji yeye analaumu watu wanaolalamika na kuwatishia maisha
 
DEBORAH ni mwamuzi pekee wa kike.. aliliongoza kundi
Acha uongo, Deborah hakuwahi kuwa mwamuzi alikuwa ni nabii, hakuna sehemu kwenye Biblia inasema Deborah alikuwa mwamuzi. Someni vizuri Biblia zenu. Labda iwe haujui nini maana ya nabii
 
CHADEMA NI WAPUUZI SANA TENA WASIO NA AKILI KABISA, "" HIVI NCHI HII ITAKAPOVURUGIKA HUO UPINZANI WAO WATAUFANYIA KATIKA NCHI GANI"""
N. B, Tunao maadui wengi sana wanaosubiria kwa kiu kubwa sana sisi wenyewe tuivuruge nchi waanze kumwaga fedha kwa watu na vikundi mbalimbali alimradi nchi ikibidi isiikalike kabisa

>>TUWE MAKINI SANA! TUSICHEKE NA KIMA!,
 
Kapigwa fix
Clips na ushahidi wote anazo, Rais hawezi ongea hewani sema yeye mstaarabu yajaagiza zitoke live tungepata mshangao,kumbuka jpm alivyozitoa hadharani za kina kinana ,Nape na january nani angeamini?(tena alitoa kidogo tu) angetoa kila kitu si ni uhaini.intelijensia haiwezi kulala.tatizo tunaiga mambo ya kwingineko katika kusaka madaraka na mara nyingi mataifa ya huko ndio yanapenda kussuport kwa ajenda zao, ndio maana jpm alizibana hizi NGOs zisizoeleweka ,ndio zinatumika kuingiza pesa chafu.
 
Biden ana matatizo mengi kuliko Samia. Ana watu zaidi ya milioni moja wanalala kando ya maduka kwenye maboksi.

Anao milioni wengine wanaotema maudenda mchana wa saa saba kwenye vituo vya mabasi baada ya kutumia madawa ya kulevya kupitiliza.
1726587812462.jpg
 
Viongozi wa Chadema wanaielewa maana halisi ya "Samia must go"?

Wanaelewa maana yake ni kumuondoa Samia?

Je wanataka kumuondoa Samia wap!?

Kama ni kumuondoa madarakani, mlifikiri sawasawa madhara yake?

Ni nani hutunga 'slogans' huko Chadem@? Na je viongozi wa Chadema huchuja slogan hizo kabla ya kuzileta kwa wananchi?

Samia must go siyo slogan ya kisiasa, tafakari.
 
Acha ujinga
 
Back
Top Bottom