Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

tupo na raisi bega kwa bega kuilinda amani ya nchi
Mko bega kwa bega na Samia kwa sababu ya upumbavu wenu. Kama anavyosema ni kweli kuwa chawa wake walimuambia kulikuwa na mipango ya kihalifu kwanini wasiwakamate wahusika na kuwashitaki mahakamani badala ya kuwaua?
Samia anafikri kwa kutumia majambazi wa polisi ndio ataendelea kutawala!! Hao hao maaskari kwa udhaifu wake siku moja watamgeuka! Mfano kwake ni mwanamke mwenzie wa Pakistan aliyeondolewa juzi juzi!! Ni mtawala mjinga anaetegemea majeshi kumlunda ; wenye akili wanawategemea wananchi for their survival! Unfortunately, Samia is very unpopular because of her corruption.
 
Kauli gani kali ilotolewa? Hii ni nchi bwana, kirahisi rahisi aje muwakilishi wa nchi ya Kigeni kisha atoe amri kwa Serikali, fanya hiv, fanya vilee... kirahis rahisi tu!! Kweli tunategemeana, lkn lazina kuwe na mipaka mkuu!
Mtu kusema swala la watu kutekwa kuuliwa si sawa ..ww unaona anakuingilia mambo yako !!!au mpaka utekwe ww ndo utaona umuhim wa watu kusema maovu..Ni sawa na jirani yako aone hauko sawa akupe ushauri wewe uone unaingiliwa .
 
Kwa hiyo unataka kulinganisha Tz na Us😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣😅🤣🤣🤣😅🤣🤣😅🤣🤣🤣
 
Heeeeee!
Kumbe hali ya hatari ilisha tangazwa; ni lini hiyo?
Ni kwamba siku hiyo nzima wananchi wa Tanzania hawatakiwi kutoka nje ya nyumba zao?

Huyu mama kweli ni kiboko yao!

Sasa naona nchi ndio itatulia vizuri kabisa. Hongera zenu mkuu!
Ukija kwa amani utapokelewa kwa amani, ukija kwa shari utakutana na shari.
 
Hao wenye mawazo ya kitumwa wanaleta picha zenye kujidharau wao wenyewe. Wanasahau kuwa Afrika ni tajiri kwa rasilimali kuliko hao wazungu wanaowapapatikia.
 
Tanzania imejaa fursa nyingi sana na wanaoziona na kufaidika nazo ni wageni wenye misingi mizuri ya elimu sisi kama kawaida yetu ni madalali wa vurugu na kuisema vibaya serikali. Haitusaidii chochote zaidi ya hizi harakati zetu kutuacha na umaskini ule ule wa siku zote.

Mbowe tangu miaka ile ya 2006 baada ya kushindwa urais yeye siku zote ni wakala wa vurugu, kila anachoandika na kukiongea ni mahubiri juu ya nchi kutotawalika. Kaondoka Kikwete kaja RIP Magufuli na sasa yupo Samia yeye na maneno yake yale yale ya Tanzania itakuja kuchafuka.

Inapochafuka anakuwa wa kwanza kupanda ndege kukimbilia huko Ulaya na Marekani anawaachia matatizo watoto na vijana wa masikini wa nchi hii.
 
Acha uongo, Deborah hakuwahi kuwa mwamuzi alikuwa ni nabii, hakuna sehemu kwenye Biblia inasema Deborah alikuwa mwamuzi. Someni vizuri Biblia zenu. Labda iwe haujui nini maana ya nabii
kwenye Biblia kuna mwamuzi wa kike aliyeitwa Debora. Anatajwa katika kitabu cha Waamuzi, sura ya 4 na 5. Debora alikuwa siyo tu mwamuzi bali pia nabii. Aliwaongoza Waisraeli na kuchukua nafasi muhimu katika kuwasaidia kushinda jeshi la Wakanaani lililoongozwa na Sisera. Alifanya kazi kwa ushirikiano na Baraka, kiongozi wa kijeshi, lakini ilikuwa ni hekima na uongozi wa Debora uliowasaidia Waisraeli kupata ushindi. Debora ni kielelezo cha uongozi wa kike katika Biblia.
 
Hivi askari wakipata taarifa za ukweli (kutoka vyanzo vya uhakika) kwamba X na Y wamekaa mahali fulani wanapanga kufanya uhalifu/jinai hawawezi kwenda na kuwakamata kwa mahojiano? Nini maana ya kuwa na "suspects" kama hao watu hawawezi kukamatwa kwa mahojiano kuhusiana na uhalifu walioupanga? Naomba mwenye mwanga wa kisheria kwa hili anisaidie tafadhali.
 
Mahakama ilisema mbowe ana Kesi ya kujibu na kuhusu ugaidi, Mama akamwonea huruma. Leo huyo huyo aliyemsamehe na kesi kufutwa amesema anaushaidi haohao aliowasamehe kinyume na mahakama wameanza tena vitendo vya ugaidi. Wewe unabisha!
Rubbish! mahakama zipi? za Juma Kilaza? za UK? za US? za wapi? uwe na akili za kifikiri kwa undani sana
 
tiss walipenyezwa kwenye huo m
kutano so ana video ya huo mkutano mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…