Mko bega kwa bega na Samia kwa sababu ya upumbavu wenu. Kama anavyosema ni kweli kuwa chawa wake walimuambia kulikuwa na mipango ya kihalifu kwanini wasiwakamate wahusika na kuwashitaki mahakamani badala ya kuwaua?tupo na raisi bega kwa bega kuilinda amani ya nchi
Samia anafikri kwa kutumia majambazi wa polisi ndio ataendelea kutawala!! Hao hao maaskari kwa udhaifu wake siku moja watamgeuka! Mfano kwake ni mwanamke mwenzie wa Pakistan aliyeondolewa juzi juzi!! Ni mtawala mjinga anaetegemea majeshi kumlunda ; wenye akili wanawategemea wananchi for their survival! Unfortunately, Samia is very unpopular because of her corruption.