Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo



Tunaenda in circles tu, mtangulizi wake hakuwa mpumbavu, kuwapiga pini CDM hakuna siasa zingine wanazoweza zaidi ya kuhamasisha fujo.

Sasa una hamasisha vipi fujo bila ya kutengeneza matukio ya kuwapa wananchi hasira kwanza.

Tanzania sio developing country kiuchumi tu, hata social attitude bado sana kuelekea maendeleo ya nchi.

Hiyo nchi kwa sasa sio ya kubembelezana style yake ya uongozi ni moja tu. Anahitajika a visionary leader whose keen on autocratic rule.

Hakuna namna nyingine.

Asiseme akuambiwa ipo siku na yeye atawachoka tu CDM, kiko wapi.
 
Ssh ndiyo visionary leader mbona
Na tumempata au we huoni hilo

Ova
 
Kupanga uhalifu dhidi ya Serikali halali ni uhalifu, wahusika wakanushe kama si kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…