Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Sasa kama ni wahaini si niwakamatwe wakashtakiwe mahakmani kwa kosa la uhaini..sheria si ziko wazi kabisa kwa wahini??
Au waoo wapo juu ya sheri?? Ujinga mtupuu tu apa
 
Asiwachekee awashughulikie vibaraka wote tuone waliowatuma kama watawasaidia
 

Shida anafanya siasa kwenye mambo ya msingi. Wanakwepa ukweli wanakimbilia kulaumu CHADEMA
 
Utoto kumbe mwingi bado kwa wanasiasa wa Tanganyika. Yaani hapo yanatengenezwa mazingira ya kuwaaminisha wajinga (siku hizi wanaitwa wazalendo)kuwa wale jamaa wana nia hovu hivyo hawafai.

Wanasingizia tunu waliyoibatiza jina la amani ilihali hiyo amani haipo tangia mwaka 2000.
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Rais wetu kipenzi mimi sijamuelewa kabisa


Ndo kakemea au ndo katoa ruhusa ya kuendelea kutekwa na kuuwawa maana kasema kifo ni kifo tu

LONDON BOY
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Rais wetu kipenzi mimi sijamuelewa kabisa


Ndo kakemea au ndo katoa ruhusa ya kuendelea kutekwa na kuuwawa maana kasema kifo ni kifo tu

LONDON BOY
Umemsikiliza Rais kweli? Amesema mambo hayo tangu day one na Leo pia.

Ila amesema haikubaliki kupangiana Cha kufanya kama kwamba Serikali haijui Cha Kufanya
 
Asiwachekee awashughulikie vibaraka wote tuone waliowatuma kama watawasaidia
Chadema Kwa muda sasa wamejaribu kuiga Kenya kwenye slogan wakati wa maandamano Kwa mfano maisha magumu na sasa must go,polisi wa tz nao waige polisi wa Kenya baada ya maandamano jioni iwe hesabu ya 39 wafa Tena barabarani next maandamano 23 wafa
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA

Rais wetu kipenzi mimi sijamuelewa kabisa


Ndo kakemea au ndo katoa ruhusa ya kuendelea kutekwa na kuuwawa maana kasema kifo ni kifo tu

LONDON BOY
Kijana ukisha kua huko kijijini kwetu enzi hizo za kuoga mtoni ni lazima uishi kwenye nyumba yako uliyojenga mwenyewe , chakula utakula nyumbani ila mambo mengine jitegemee sekondari yaani unapambana na hali yako, kumbukeni enzi za kuoga mtoni ukifika huko mtoni azima upige hodi, that was a taboo, (maelekezo ya jamii) a.k.a mwiko
 
Inasikitisha sana kwamba Mheshimiwa Rais Samia anarudia makosa yale yale ya awali ambayo yalishusha mno hadhi ya Nchi yetu.

Kibaya zaidi Waliomdanganya Wakati ule ndio wale wale Wanaomdanganya leo, Sijui kwanini hajang'amua Uongo wao.

Ikulu ni mzigo - JK NYERERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…