kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Mama na watu wake wa usalama kuna mahali wameruhsu vilaza na wamewaaminiHata siku moja swala au mipango ya uhaini haizungumzwi kwenye mkutano wa hadhara kama kungekuwa na wahaini wangesha kamatwa hayo ni mambo ya kisiasa