Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Rais Samia: Nina taarifa ya kikao chao cha Arusha, wanapanga uhalifu, Serikali ya Tanzania haiondoshwi hivyo

Samia awe anaandikiwa Hotuba. Uwezo wake wa kuchambua nini aongee na nini asiongee hana.

Nadhani anakuwa na mihemko sana anashindwa kuji control au anashindwa kuelewa nini aseme in private na nini in public. Mumsaidie please. Leo ametoa Hotuba ambayo inaonyesha kabisa ya mtu mwoga asiyejiamini.

Rais anapaswa kuwa jasiri na tulitegemea aliponye Taifa. Si ndio wadau? Naona analiparua zaidi. Analikwangua , analigawanya.
 
Aache kutudanganya na kutafuta kichaka cha kujificha kuhusu mauaji.

She is inept to the core.
 
Nilisema watakuwa wamempa intelijensia ya uongo.

Wamemtisha kabisa kwamba alitaka kupinduliwa.

Na kwa muonekano, na anavyoongea, madaraka yamembadili na kumu expose vibaya.
Hangaikeni tu,mtaijua dola ni kitu gani,uhuru wa manyani
 
Ameadhamilia kwa makusudi arudi zama za Jiwe na Siro kaona haeleweki unafiki wote kamaliza lakini waapi. Kazi tunayo mpaka 2030 daaah....
downloadfile.jpg
 
Back
Top Bottom