Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,051
Reaction score
51,217
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
 
Mtoto amelala saa mbili usiku, anaamka saa kumi na nusu alfajiri, ambapo atakuwa amelala masaa 8 au 9, kutakuwa na tatizo hapo?
Mtoto anaweza akaonekana barabarani saa moja asubuhi, ila amelala saa tano usiku. Naona ishu sio watoto kutolewa saa kumi na moja, ishu wamepumzika saa ngapi na kutolewa huo muda.
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
naona unafanya maandalizi ya umaskini wa kutupwa wa watoto wako gentleman, kwa kuwafunza uvivu badala ya ukakamavu 🐒
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Acheni kuwa walemavu wa akili, Mtoto wakowenyewe umuamshe saa kumi na moja harafu Mzigo umpe Mh Samia kuja kukusaidia?
 
Wewe kama mzazi , unabidi kuwa makini na mtoto wako .

Hasa kuhakikisha umefatilia je amepunzika masaa mangapi .

Maana nakumbuka zamani tulikuwa tunatembea kilometers 3 kwenda n kilometers 3 kurudi kwa mguu .

Na ili ufike Shule mapema unabidi kuamka saa tisa na kuanza safari saakumini.

Kwahiyo kwa Hawa watoto bado naona wapo safe endapo akiwa analala mapema na anaamka mapema huku akisubiri school bus .

So jaribu kutumia na akili kidogo kabla ya kuomba serikali kuingilia .

Mfano jiji kama Daressalaam Shule zinapitia wanafunzi sehemu tofauti tofauti je unadhani inambidi mwanafunzi kuanza safari saangapi ili saambili kamili Ahsubui imkute Shule.?.
 
Saakumi na Moja wala sio tatizo mkuu .

Mtoto kama jioni anarudishwa nyumbani saa 12 jioni saa 11 jioni ataoga , atakula , atafanya kazi zake za Shule kama homework.

Kufika saatatu atakuwa amelala

Ukipiga hesabu bado HAYO masaa ni Kati ya 8-9 ambayo yanamtosha kabisa .

Mambo mengine ni KULALAMIKA bila sababu.
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Kabisa..

Wazazi mnatesa watoto wadogo kwa kuwaamsha usiku mzito.

Ikiwezekana wapelekeni shule za karibu na nyumbani.
 
Saakumi na Moja wala sio tatizo mkuu .

Mtoto kama jioni anarudishwa nyumbani saa 12 jioni saa 11 jioni ataoga , atakula , atafanya kazi zake za Shule kama homework.

Kufika saatatu atakuwa amelala

Ukipiga hesabu bado HAYO masaa ni Kati ya 8-9 ambayo yanamtosha kabisa .

Mambo mengine ni KULALAMIKA bila sababu.
Kwahio huoni tatizo mtoto wa kuamka saa 11 asubuhi na kurudi jioni saa 11 au 12? Halafu unasema anarudi anaoga,anakula anafanya kazi zake analala. Okay.
 
Wewe kama mzazi , unabidi kuwa makini na mtoto wako .

Hasa kuhakikisha umefatilia je amepunzika masaa mangapi .

Maana nakumbuka zamani tulikuwa tunatembea kilometers 3 kwenda n kilometers 3 kurudi kwa mguu .

Na ili ufike Shule mapema unabidi kuamka saa tisa na kuanza safari saakumini.

Kwahiyo kwa Hawa watoto bado naona wapo safe endapo akiwa analala mapema na anaamka mapema huku akisubiri school bus .

So jaribu kutumia na akili kidogo kabla ya kuomba serikali kuingilia .

Mfano jiji kama Daressalaam Shule zinapitia wanafunzi sehemu tofauti tofauti je unadhani inambidi mwanafunzi kuanza safari saangapi ili saambili kamili Ahsubui imkute Shule.?.
Zamani au uliposoma wewe? Maana hata mimi mzee ila hayo unayosema sikuwahi kuyapitia. Sisi darasa la kwanza shule ilikuwa saa moja na nusu asubuhi hadi saa tano. Darasa la pili saa tano asubuhi hadi saa nane. Darasa la tatu mpaka la saba shule ni saa moja na nusu mpaka saa nane mchana. Shule zilikuwa karibu hatukulazimika kutoka nyumbani au kuamka saa 11 asubuhi.
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Mmeshamfanya kama mungu mtu sasa mwenye mamlaka yote😀😀😀 mwenye nguvu zote.. Mwenye maamuzi yote. Hakuna utawala wa sheria wala mgawanyo wa madaraka😂
 
Ilikua inaniuma sana kipindi icho nyumbani ndo kuna TV na VHS sasa watu huja kutazama movie basi ikishafika saa 2 tu tunaambiwa tukalsle ilihali wageni wapo sebuleni wanaendelea kutizama movie ila All in All ukikosa mama ata dada ako anakulea fresh tu
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Sahihi Kabisa. Na katika muda huo m-baya, utawaona wengine wamepakiwa kwenye bodaboda tena mishikaki na wengine bado wanasinzia.
 
Back
Top Bottom