Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

CCM mmeshindwa kupangilia mji, kati ya saa moja hadi mbili asubuhi barabara hazipitiki kwa foleni. Miaka sitini mmeshindwa kujenga reli kwenye majiji kusafirisha watu kwa haraka. Mwendokasi kama dalaladala tu.
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Hatima ya mtoto ipo mikononi mwako kuamka asubuhi hakuepukiki mkuuu inakujenga wewe na mtoto pia kwajili ya mstakabari wa maisha yake
 
Zamani au uliposoma wewe? Maana hata mimi mzee ila hayo unayosema sikuwahi kuyapitia. Sisi darasa la kwanza shule ilikuwa saa moja na nusu asubuhi hadi saa tano. Darasa la pili saa tano asubuhi hadi saa nane. Darasa la tatu mpaka la saba shule ni saa moja na nusu mpaka saa nane mchana. Shule zilikuwa karibu hatukulazimika kutoka nyumbani au kuamka saa 11 asubuhi.
We kijana mdogo hauwezi kuelewa haya mambo
 
Sio uzungu tu niushamba tena mtoto mdogo anafundishwa mambo mengi
 
Hakikisha mtoto analala mapema. Acheni upuuzi wa kulalamika kila kitu
 
Shule zilikuwa karibu hatukulazimika kutoka nyumbani au kuamka saa 11 asubuhi.
Mkuu acha kupotosha umma. Zamani shule zilikuwa chache kiasi kwamba kuna watu walikuwa wanatembea hadi 5km kuifuata shule. Kama ulibahatika kuwa karibu na shule shukuru sana. Siku hizi ndo shule zimekuwa nyingi zipo karibu na wengi. Zamani Arusha mjini shule zilikuwa zinahesabika.. Naura, Meru, Uhuru, Kaloleni, Sanawari nk. Ila sasa hivi ziko nyingi balaa.
 
Labda huko vijijini mlikosoma nyinyi.
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu,

No child at this hour , wanahitaji kupata mapunziko ya kutosha, kwa faida yao.

Huu sio uzungu ni utumwa.
Samia hawezi kufanya hivyo, maana Polisi kwa uelewa wao wakiona mtoto wa chini ya miaka 5 yuko nje watawapiga risasi
 
naona unafanya maandalizi ya umaskini wa kutupwa wa watoto wako gentleman, kwa kuwafunza uvivu badala ya ukakamavu 🐒
Screenshot_20260520-121053~2.png
 
Wakuu nipo barabarani muda huu,

Ama kwa hakika maisha yamebadilika.

School buses zipo busy kuchukua wanafunzi.

Wazazi wanakwena makazini na watoto wao.

This is pure madness, there is no control.

Rais wangu,
Eti Rais wangu labda Rais wa Nyok wawe !
 
Mtoto amelala saa mbili usiku, anaamka saa kumi na nusu alfajiri, ambapo atakuwa amelala masaa 8 au 9, kutakuwa na tatizo hapo?
Mtoto anaweza akaonekana barabarani saa moja asubuhi, ila amelala saa tano usiku. Naona ishu sio watoto kutolewa saa kumi na moja, ishu wamepumzika saa ngapi na kutolewa huo muda.
Saa 2 na nusu?Mbona mapema sana, Watoto wanatakiwa darasani saa 12 kamili asubuhi, na wanatoka saa 4 usiku, wanalazimisha tuwapeleke boarding!! Eti ili waweze kufaulu mtihani wao wa darasa la 7,Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom